Hawajifunzi. Wanatakiwa watambue kwamba by all means watanzania siyo watu wa kuweza kusimana na kupigania haki zao.
Watanzani ni watu kimaombile wameumbwa kuunga mkono watawala na si kuwa kinyume chao.
Katika nafsi ya Mtanzania kumchallenge kiongozi ni aina ya kosa linalo share vinasaba na kosa la Uhaini.
Kwa watanzania, yeyote aliye upande wa watawala akawakusanya maelfu ma malaki ya watanzania tena kwa nguvu ndogo sana akawapeleka barabarani kuuanga mkono Mswada huu bila hoja yoyote.
Ni ngumu hata aje malaika ma mabawa yake kufanikiwa kupata hata watu 120 wa kuandamana kuupinga hata hoja zenye mashiko yalwe na nguvu vipi, hata kama hoja hizo zitasomwa na Mungu mwenyewe. Ili mradi yupo kinyume na watawala, basi watanzania hawatamuunga mkono Mungu, ingawa baadaye wataenda Makanisani ma Misikitini kuwaombea afya, baraka na mafanikio hao watawala wao.