Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka Leo hawana ofisi, na hawajawahi kuandamana kushinikiza mwenyekiti wao awajengee ofisi, Leo wanaandamana kuda waongeze wabunge kwenye kila jimbo, sasa hawa si ni zaidi ya ng'ombe!!
Umerogwa wewe chumia tumbo wa Lumumba
 
Kabla ya sisi kuandamana tunapenda kuona Mbowe , mke wa mh.Mbowe na watoto wake wakiwa msitari wa mbele kuongoza maandamano ,Pia Lisu na mke wake pamoja na watoto wakiwa msitari wa mbele .Sisi sote tutafuata.
Hoja yako haina mashiko , imejaa umasikini wa fikra
 
Sasa mbowe anataka awadanganye Watanzania halafu yeye akae pembeni na chupa ya pombe mkononi akiwa kajificha huko Machame.
JamiiForums1267461471_387x387.jpeg
 
View attachment 2870448

Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Makao Makuu ya Chadema Mikocheni .

Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024

Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Hii safi sana. CCM wametunga hiyo miswada ya uchaguzi kwa kujinufaisha wao wenyewe. CHADEMA wamewashtukia mapema sana wapuuzi wakubwa!
 
Hii safi sana. CCM wametunga hiyo miswada ya uchaguzi kwa kujinufaisha wao wenyewe. CHADEMA wamewashtukia mapema sana wapuuzi wakubwa!
Hakuna mpuuzi wa kuunga mkono ujinga na upuuzi huo wa CHADEMA. Ninyi endeleeni kuliwa Ruzuku na michango yenu huko huku mkiswagwa kama mang'ombe kupelekwa machinjioni.
 
Back
Top Bottom