MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Kama mamako anavyogongwa na IS?Chadema wote mnagongwa na hamas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mamako anavyogongwa na IS?Chadema wote mnagongwa na hamas
nipo hapa hapa jukwaani, mark my words....View attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.
Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024
Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Palestina ndio wanaume mpaka sasa Isreal anahangaika na dunia.Sasa mbowe anataka awadanganye Watanzania halafu yeye akae pembeni na chupa ya pombe mkononi akiwa kajificha huko Machame.
Wewe utaandamana?Ni haki yao kikatiba.
Kama wewe hutaki kuandamana tuliza kijambio chako maisha yaendelee.
Ujinga tu, mhaga anatafuta pesa za wadhamini.View attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.
Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024
Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania .
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Wewe Shoga endelea kulamba nywere chafu zq mabwana zakoHakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?
Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
Ndio muda ukiniruhusu.Wewe utaandamana?
Hakuna maandamo, Mbowe haaminiki tenaThis is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.
Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
P
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?
Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
akili timamu ni nini wewe chawa? mwache mh mbowe afanye kazi yake, yaani unajitokeza kutoka huko kwenye kambi ya chawa wenzio, we mwashambwa ni nani kwanza kwenye nchi hii baba ako na wewe mmelifanyia nini taifa hili yaani mtanzania kushiriki haki ya kikatiba ni kutokua na akili timamu, lakini kushangilia bandari na mbuga zikiuzwa, umeme kukatika kama mkojo wa sungura ndio kua na akili timamu? funza mmoja.Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?
Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
maccm akili zenu sawa na za mbuzi tu.Machadema akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
Duh mkuu umeishiwa hoja nini!?,kunitukana na kudhihaki kazi yangu hakubadilishi ukweli kuwa wafuasi wa chadema ni watu waliokosa mwelekeo ,wanamsikiliza Dj Mbowe aliyekosa mvutoNg'ombe Ticha wa primary unaropoka ujinga
Tayari nimepeleka magwanda yangu DRY CLEANERWewe uliyejaa utajiri wa fikra nenda msitari wa mbele utawaacha watoto wa Lema na Lisu wakiwa ulaya .Hongera sana
Nimesikia mmehairisha kama ni hivyo sio poa kuweni na msimamo polisi wamekumbuka kuvunja watu miguu ni siku nyingi sanaTayari nimepeleka magwanda yangu DRY CLEANER
Sheria nzuri zitaleta uniform za polisi ambazo hazipaukiNimesikia mmehairisha kama ni hivyo sio poa kuweni na msimamo polisi wamekumbuka kuvunja watu miguu ni siku nyingi sana
Miswada ya kihuni snView attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.
Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki