Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
FB_IMG_1677688856429.jpg
 
Bora hata ng'ombe ana akili . CHADEMA akili zao ni kama nyumbu tu.kwa sasa wamejaa uroho kama mafisi.ndio maana wanapendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo ili matumbo yao yapate shibe vizuri huku wananchi wakibebeshwa mzigo wa gharama za kuwalipa. CHADEMA wanafiki Sana nawasio faa hata kusikilizwa kwa lolote lile.wamekuwa wajasiriasiasa
Ninyi akilizenu nikama furushi la 💩... Kunashidagani watu kukutana kudai haki Yao? Kama Haina maana watu hawatoenda Sasa mnawashwa kwanini?
Mnaona Haki itawapora Haramu mliyozoea maana mmezoea kula vibudu sio?
 
1705161565636.png

Mwenyekiti Freeman Mbowe akumbushia kiburi na kujiburuza kwa serikali ya CCM kuacha kutekeleza maamuzi ya Mahakama

Suala la wakurugenzi laibuka katika hotuba ya Freeman Mbowe kwa taifa leo tarehe 13 January 2024 :

Kutoka maktaba:

13 JUNE 2023

Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi​

Hukumu iliyotolewa katika uamuzi Leo ni kuhusu kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi' ambacho ni chama tawala hivyo mpeleka maombi anadai kuwa ni vigumu uchaguzi kuwa wa huru na wa haki, lakini pia inadaiwa kuwa vifungu hivyo vinakiuka haki ya usawa mbele ya sheria ikiwa ni pamoja na haki ya wananchi kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.

UPDATES:
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeagiza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufanya marekebisho ya sheria ya Taifa ya uchaguzi inayotoa uhalali kwa Wakurugenzi (DED) kusimamia uchaguzi.

Uamuzi huo umetolewa kufuatia kutupilia mbali kwa mara nyingine ushahidi wa upande wa Serikali kwenye ile kesi ya kupinga hiyo.

Kufuatia maelekezo hayo mahakama hiyo imeielekeza Serikali ndani miezi 12 kupeleka ripoti ya utekelezaji wa uamuzi huo.

Ikumbukwe Kesi hiyo ambayo uamuzi wake umetolewa leo June 13, 2023, ilifunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi,

Ambapo mlalakaji alidai kuwa Wakurugenzi hao ni 'makada wa Chama Cha Mapinduzi' ambacho ni chama tawala hivyo kumpelekea uchaguzi kushindwa kuwa wa huru na wa haki. Lakini pia inadaiwa kuwa vifungu hivyo vinakiuka haki ya usawa mbele ya sheria ikiwa ni pamoja na haki ya wananchi kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.

Inaweza kukumbukwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 baadhi ya wadau hususani wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania na Wanaharakati walikosoa vipengere hivyo vinavyotoa mamlaka kwa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, wakitaja Wakurugenzi hao waliokuwa na dhamana kuwa ni makada wa Chama tawala hivyo ilikuwa ni vigumu kwao kusimamia misingi na taratibu za uchaguzi licha ya baadhi ya wengine kuwa na mtazamo tofauti.

Akizungumza kuhusu kesi hiyo mara baada ya uamuzi,Wakili wa upande wa mleta maombi, Jebra Kambole amesema kuwa walichukua uamuzi wa kufungua shauri hilo wakiamini wanaweza kupata haki licha ya kushindwa kwenye mahakama ya rufaa.

“Baada ya kushindwa hiyo kesi mahakama ya Rufaa tuliamini kuna haki zetu hazijawa sawa kwahiyo tukapeleka kesi kwenye mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, kwamba vile vifungu vinavyotoa mamlaka kwa wakurugenzi (DED) vinakiuka mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu”amesema Wakili Jebra Kambore

Ameongeza kuwa “Mahakama imekubaliana na sisi kuwa sheria haijaweka vigezo vya Wakurugenzi hao kusimamia uchaguzi, mahakama imeona kuwa kutokana na kutokuwepo kwa vigezo ni kwamba mtu yoyote anaweza kusimamia uchaguzi. Mahakama imesema Wakurugenzi wasisimamie uchaguzi"

Ikumbukwe Kesi hiyo ambayo uamuzi wake umetolewa leo June 13, 2023, ilifunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi.

Ambapo mlalakaji alidai kuwa Wakurugenzi hao ni 'makada wa Chama Cha Mapinduzi' ambacho ni chama tawala hivyo kumpelekea uchaguzi kushindwa kuwa wa huru na wa haki. Lakini pia inadaiwa kuwa vifungu hivyo vinakiuka haki ya usawa mbele ya sheria ikiwa ni pamoja na haki ya wananchi kuchagua viongozi wao wanaowataka kwa uhuru.

Inaweza kukumbukwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 baadhi ya wadau hususani wanasiasa wa vyama vya upinzani Tanzania na Wanaharakati walikosoa vipengere hivyo vinavyotoa mamlaka kwa Wakurugenzi kusimamia uchaguzi, wakitaja Wakurugenzi hao waliokuwa na dhamana kuwa ni makada wa Chama tawala hivyo ilikuwa ni vigumu kwao kusimamia misingi na taratibu za uchaguzi licha ya baadhi ya wengine kuwa na mtazamo tofauti.

images%20(8).jpg

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu imepiga marufuku Wakurugenzi kusimamia chaguzi, yaagiza serikali kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi na kupeleka ripoti ya utekelezaji wa marekebisho hayo ndani ya miezi 12.

Mahakama ya Afrika.jpg

Kesi hii ilifunguliwa na mwanasheria Bob Wangwe kupinga wakurugenzi wa mamlaka za serikali za mtaa kusimamia uchaguzi. Itakumbwa kuwa hii ni mara ya pili kwa Wakurugenzi wa Halmashauri kupigwa marufuku kusimamia uchaguzi mbali na uamuzi wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania iliyoamua kuwa waendelee kusimamia chaguzi kwa sababu wanakula viapo vya kukana uanachama wao wa vyama vya siasa kabla ya kusimamia chaguzi.

Chanzo: Jambo TV

Sasa serikali isisubiri kusukumwa kukazia hukumu hii kabla ya 2025

13 June 2023
Arusha, Tanzania

Application 011/2020 - Bob Chacha Wangwe and Legal and Human Rights Centre vs United Republic of Tanzania​

II. SUBJECT OF THE APPLICATION
A. Facts of the Matter
3. The Applicants challenge the provisions of the National Elections Act and they
claim that the Respondent State, by enacting and implementing the impugned
provisions, violated numerous rights including the right to equality before the law ; the citizen’s right to participate freely in the government of his country,
either directly or through freely chosen representative, the right to vote and be
elected at genuine periodic election and the right to equal access to public.

B. Alleged violations
4. The Applicants allege that the Respondent State has violated fundamental rights
guaranteed in article(s) 1, 13 (1), 21 (1) and (3); 25 (2) & 26; 21 (1) & 21 (2). 74(14) of the Charter, the Universal Declaration of Human Rights, 1948 (hereinafterreferred to as “the UDHR), International Covenant on Civil and Political Rights, 1966 (hereinafter referred to as “the ICCPR) and the Constitution of the United
Republic of Tanzania, respectively.

JUDGEMENT:

The Applicants alleged that the Respondent State had violated their right to participate in the government of their country contrary to Article 13(1) of the Charter and also their right to equality before the law and to equal protection of the law contrary to Article 3 of the Charter.

The Applicants submitted that section 6(1) of the NEA violated the Charter because the Director of Elections is appointed by the President who is the Chairperson of the ruling party and also among the contestants in elections. This manner of appointing the Director of Elections, the Applicants contended, raised questions of impartiality and independence of the
Electoral Commission.

The Applicants also submitted that section 6(1) “lacks the criteria for
the appointment of the Director of Elections and thus, makes it wide, broad and vague, and
subject to abuse
”.

The Court noted that at the core of the Applicants’ grievances, in respect of the appointment of the Director of Elections, was the question of the independence and impartiality of the office.

In line with its jurisprudence, the Court pointed out that States have latitude in terms of configuring their electoral management bodies while bearing in mind the overriding responsibility of establishing an institution that is independent and impartial.

Having considered the Parties’ arguments, and given the various methods for constituting electoral management bodies in use in Africa, the Court held that there is no violation of Article
13(1) of the Charter by the mere reason that the Director of Elections is appointed by the
President. It also held that Article 13(1) of the Charter is not violated simply on the basis that the President makes the appointment of the Director of Elections following recommendation (s) by the Electoral Commission.

In respect of the Applicants’ allegation that section 6(1) of the NEA “lacks the criteria for the appointment of the Director of Elections and thus, makes it wide, broad and vague, and subject
to abuse”, the Court observed that, indeed, section 6(1) did not set out any qualifications that
an appointee for the position must possess in order to qualify for appointment.

The Court thus found it anomalous that the Respondent State’s laws contain no provisions
stipulating the qualifications that one must possess to be appointed a Director of Elections.

The Court held, therefore, that in relation to the head of the Electoral Commission’s secretariat, it behoved the Respondent State to appoint individuals of the highest calibre who can independently, impartially and transparently coordinate the management of the electoral process. However, without a clearly laid out qualifications scheme, the considerations that the
appointing authority may take into mind when appointing a Director of Elections were unclear.

The Court found that this exposed the process not only to uncertainty but also the possible consideration of irrelevant factors.

Given the violations of the Charter that the Court had established, it also found a violation of Article 1 of the Charter.

On reparations, the Court reiterated its established jurisprudence that for reparations to be granted, the Respondent State should, first, be internationally responsible for the wrongful act.

Second, causation should be established between the wrongful act and the alleged prejudice. Furthermore, and where it is granted, reparation should cover the full prejudice suffered.
Finally, the Applicant bears the onus to justify the claims made.

The Court having found that sections 6(1), 7(2) and 7(3) of the NEA, in part, violate Article 13(1) of the Charter, ordered the Respondent State to take all necessary constitutional and
legislative measures, within a reasonable time and without any undue delay, to ensure that these provisions are amended and aligned with the provisions of the Charter so as to eliminate
the violations of Article 13(1) of the Charter asestablished.

The Court also noted that the violations that it had established raised critical matters of public concern and specifically in relation to the management of electoral processes within the Respondent State. In the circumstances, the Court deemed it proper to make an order suo motu for publication of this Judgment.

The Court, therefore, ordered the Respondent State to publish this Judgment within a period of three (3) months from the date of notification, on the
websites of the Judiciary and the Ministry for Constitutional and Legal Affairs, and to ensure that the text of the Judgment remains accessible for at least one (1) year after the date of
publication.

On implementation of decisions, the Court reiterated that this is required as a matter of judicial
practice. The Court, therefore, ordered the Respondent State to submit to it within twelve (12)
months from the date of notification of this Judgment, a report on the status of implementation
of the decision set forth herein and thereafter, every six (6) months until the Court considered
that there has been full implementation thereof.
Each Party was ordered to bear its own costs.
Justice Rafaâ BEN ACHOUR issued a Dissenting Opinion.
Further Information
Further information about this case, including the full text of the decision of the African Court,
may be found on the website at: African Court Cases | Details of a case
For any other queries, please contact the Registry by email registrar@african-court.or

READ MORE :

Source : African Court Cases | Details of a case

The Respondent State argues that
“The right to participate in the conduct of business is not absolute, insofar
as it may be legitimately restricted by law”. Relying on Article 27(2) of the
Charter and the decision of the Court in Tanganyika Law Society and
Legal and Human Rights Centre, Reverend Christopher Mtikila v.
Tanzania, the Respondent State argues that “the restrictions on persons
eligible for appointment to the position of Director of Elections are
reasonable and justifiable. The appointment of a civil servant to the
position of Director of Elections is in the public interest, as it is easy to
verify his or her ethical, professional and academic background, since the
public service is governed by a well-established legal framework”.
5. The Respondent State’s reasoning found favour with the majority of the Court,
which found that
“Section 6(1) of the NEA is not in violation of the Charter insofar as it
restricts the appointment of the Director of Elections only to candidates
from the public service”.
2
6. It is this finding, and the reasoning behind it, that I disagree with. Indeed, I believe
that reserving the position of Director of Elections only to public servants openly
violates the principle of equality of all before the law.
3
It is exclusive and
discriminatory and cannot be justified on any objective basis.
2§ 93 of the Judgement.
3Principle proclaimed by Article 7 of the Universal Declaration of Human Rights of 10 December
1948: “All are equal before the law and are entitled without any discrimination to equal protection of the
law. All are entitled to equal protection against any discrimination in violation of this Declaration and
against any incitement to such discrimination”, and reiterated in Article 26 of the International Covenant.

The Court composed of: Blaise TCHIKAYA, Vice-President; Ben KIOKO, Rafaâ BEN
ACHOUR, Suzanne MENGUE, Tujilane R. CHIZUMILA, Chafika BENSAOULA, Stella
I. ANUKAM, Dumisa B. NTSEBEZA, Modibo SACKO, Dennis D ADJEI – Judges; and
Robert ENO, Registrar.
In accordance with Article 22 of the Protocol to the African Charter on Human and
Peoples’ Rights on the Establishment of an African Court on Human and Peoples’ Rights (hereinafter referred to as “the Protocol”) and Rule 9(2) of the Rules of Court (hereinafter referred to as “the Rules”),1 Justice Imani D. ABOUD, President of the Court and a national of Tanzania, did not hear the Application.

In the Matter of:
Bob Chacha WANGWE and Legal and Human Rights Centre

Represented by:

i. Advocate Jebra KAMBOLE, Law Guards Advocates;

ii. Advocate Fulgence MASSAWE, Legal and Human Rights Centre; and

iii. Advocate Amani JOACHIM, Legal and Human Rights Centre.

Versus

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Represented by:

i. Dr Boniface Nalija LUHENDE, Solicitor General, Office of the Solicitor General;

ii. Ms Sarah Duncan MWAIPOPO, Deputy Solicitor General, Office of the
Solicitor General;

iii. Mr Vincent E. A. TANGOH, Director, Civil Litigation, Office of the Solicitor
General;

iv. Ms Alesia A MBUYA, Assistant Director, Constitutional, Human Rights and
Election Petitions, Principal State Attorney, Office of the Solicitor General;

v. Daniel NYAKIHA, State Attorney, Office of the Solicitor General;

vi. Vivian METHOD, State Attorney, Office of the Solicitor General;

vii. Ms Caroline Kitana CHIPETA, Acting Director, Legal Affairs, Ministry of
Foreign Affairs and East African Cooperation; and

viii. Ms Blandina KASAGAMA, Legal Officer, Ministry of Foreign Affairs and East
African Cooperation.
 
This is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.

P
Tuseme wewe unaakili kuliko wanasiasa woote duniani waliowahi kuandamana kudai haki sio? Mahakama ipi itaizuia serikali hii linapokuja swala la kuongoza nchi? Au kwakuwa unatamaa ya kugombea na unaliotaga bunge?
Usitetee ujinga kisa kusaka vyeo mzee heshima yako nimuhimu itazidi shuka na cheo hutoambulia...be wise man uliwahi kuwa mwandishi hodari kama kina meena skuizi njaa imekupeperusha sana,sorry
 
This is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.

P
Si wewe umesoma sheria si utoe mchango wako?
Kwa nini unaona wewe unajua kuliko alichosema Mbowe.

Maandamano ni kutuma ujumbe kwa ulimwengu
Kuna nchi nyingi zimejikomboa kutokana na maandamano South Africa did it why not Tz
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?

Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
Mkuu Mwashambwa umejenga hoja yako kwenye premise ya kwamba maandamano ni vita, ukiandamana utapigwa, au utakutana na virungu vya polisi!

Kitendo cha Mbowe kutangaza maandamano, position yake ya kuwa mbele inaanzia hapo na ni ajabu mwandishi kama wewe hujaliona hilo!

Kimsingi chanzo cha miswada hii kutokea ni fikra, mawazo na effort ya Mbowe na timu yake! Chama pekee kilicho fanya mazungumzo na CCM ni Chadema, iweje awe na mawazo mgando?

Nimegundua kuwa unahofu ya kufikirika, unaogopa mpinzani! Una represent hofu ya chama cha CCM dhidi ya wapinzani au upinzani.

Mkuu upinzani sio uadui!
 
Mheshimiwa Freeman Mbowe leo tarehe 13 January 2024 akumbushia mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi NEC katika ripoti yake NEC mara baada ya uchafuzi wa uchaguzi 2020
1705163091280.png

....mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Uchaguzi ni:

12.2 Mapendekezo
Ili kuboresha uendeshaji wa uchaguzi, Tume inapendekeza yafuatayo: -

(i) itungwe sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo itaiwezesha Tume
kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi zaidi;

(ii) kuwe na watendaji wa Tume hadi ngazi ya halmashauri;

(iii) mamlaka husika ziangalie uwezekano wa kuunganisha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,
Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 ili kurahisisha
utekelezaji wa sheria hizo;

(iv) sheria za uchaguzi zitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili; na

(v) Serikali iangalie uwezekano wa kuziwezesha kifedha asasi na taasisi zinazotoa
elimu ya mpiga kura katika hatua mbalimbali za mchakato wa uchaguzi...

Mwenyekiti kamanda Freeman Mbowe amesema miswada iliyosomwa bungeni mwezi November 2023 kwa mara ya kwanza, kisha Kamati ya Kudumu ya Bunge masuala ya utawala, sheria na katiba kukaribisha wadau na wananchi kutoa maoni imeonesha kuwa matawi hayo mawili ya Bunge hawajazingatia mapendekezo muhimu yaliyoainishwa na Tume ya Uchaguzi -NEC wala kamati ya Bunge haikuonesha kutaka kuchukua maoni ya wadau au raia yanayofanana na ya mapendekezo ya NEC
 
This is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.

P

"This is where Chadema does it is wrong"

Taja jambo la maana umewafanyia wa Tanzania na Elimu yako? Zaidi ya uchawa, umbea na uzandiki?
 
This is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.

P
Mkuu pamoja na kuwa ushauri wako ni mzuri ila kutokana na ukada wako ndani ya CCM ni vigumu mno kutanabaisha kama ushauri wako ni wenye nia njema kwa upinzani!
 
Kamanda Mbowe - Hawa watu wametia pamba masikioni na kupuuza maoni ya wadau mbalimbali waliofika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge, sasa sisi CHADEMA tunalivaa jukumu hilo kuwaongoza waTanzania wote wenye mapenzi mema na taifa letu....

1705163571546.png
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?

Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
Wanaotangaza kuandamana ni chadema,na Wala sijaona mahali wanakomlazimisha mtu kushiriki maandamano yao.na hao chadema ni wananchi pia kama Katiba inawaruhusu kufanya maandamano hayo kwa nini tusisubiri Ili tuone ufanisi wa maandamano yao?.
 
👍🆒
 
Back
Top Bottom