Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ni mwana CCM na ushauri wako ni mbovu. Maandamano yanabadilisha Sheria kwenye nchi kubwa kama U.S sembuse huku! Sehemu nyingine hata Serikali zinatolewa kwa maandamano. Unaongea nini wewe.
Tatizo la Pasikali hujitoa akili ili awafurahishe wateuzi, huyu kaka anajua kuwa maandamano huleta mageuzi nchini ndiyo sababu Nyerere alishiriki kabla ya uhuru. Chadema wametumia njia sahihi za awali ila watesi wao hawataki kuwasikiliza kwa utashi tu si hoja.
 
Hawajifunzi. Wanatakiwa watambue kwamba by all means watanzania siyo watu wa kuweza kusimana na kupigania haki zao.

Watanzani ni watu kimaombile wameumbwa kuunga mkono watawala na si kuwa kinyume chao.

Katika nafsi ya Mtanzania kumchallenge kiongozi ni aina ya kosa linalo share vinasaba na kosa la Uhaini.
Kwa watanzania, yeyote aliye upande wa watawala akawakusanya maelfu ma malaki ya watanzania tena kwa nguvu ndogo sana akawapeleka barabarani kuuanga mkono Mswada huu bila hoja yoyote.
Ni ngumu hata aje malaika ma mabawa yake kufanikiwa kupata hata watu 120 wa kuandamana kuupinga hata hoja zenye mashiko yalwe na nguvu vipi, hata kama hoja hizo zitasomwa na Mungu mwenyewe. Ili mradi yupo kinyume na watawala, basi watanzania hawatamuunga mkono Mungu, ingawa baadaye wataenda Makanisani ma Misikitini kuwaombea afya, baraka na mafanikio hao watawala wao.
Wananchi wanaogopa kuumizwa
Kama Maandamano yatapata kibali wataandamana !
Kama hakuna kibali watu wataogopa kuandamana
 
Watoto wa lema na lisu na wake zao kamwe hautawaona kwenye maandamano,ila wanaotegemewa na familia za wanyonge ndio wako msitari wa mbele kuvunjwa miguu kisha ndugu wapate tabu kuwatibu.
Unataka kusema kwamba maandamano ni vita?
 
CHADEMA hadi watakapomwomba msamaha hawara wa Dr Slaa, Bi Mushumbusi, ndo watafanikiwa maandamano yao. Yule mwanamke aliandamana Januari 5, 2011 kwenye maandamano yasiyosahaulika Arusha kiasi kwamba mama alipasuliwa kichwani damu zikawa zinavuja kwa ajili ya CHADEMA akimsapoti hawara yake. Wana laana ya hawara wa Dr Slaa kwa kumpiga chini hawara yake na kumweka EL kwenye kugombea urais. Kibaya zaidi wakaanza kumtukana kwa kumwita Dr Mihogo.
 
Nitakuwa pembeni kukushikia simu pindi polisi watakapokudandia kwa nyuma

unaulizaje swali duni kama hilo , ni hivi , mimi ndio nimepangiwa kushika kipaza sauti mbele kabisa , nadhani hiyo ndio siku mtanijua vizur
 
Tatizo la Pasikali hujitoa akili ili awafurahishe wateuzi, huyu kaka anajua kuwa maandamano huleta mageuzi nchini ndiyo sababu Nyerere alishiriki kabla ya uhuru. Chadema wametumia njia sahihi za awali ila watesi wao hawataki kuwasikiliza kwa utashi tu si hoja.
Ni kubwa jinga.
 
Haijawai kuwa vita kama kibali kitatolewa ,kama kibali hakuna ukivunjwa mguu,haki yako ya kuandamana haiwezi kukurejeshea mguu mwingine,tutakupa pole na kuwalaumu polisi
Hivi ni nani anaetoa hicho kibali kwa mujibu wa Sheria za NCHI yetu? Mimi nataka kujua
 
Weka kifungu cha katiba kinachoelekeza huo ujinga
Ujinga unaotekelezeka ni mzuri kuliko ujanja usiotekelezeka.Kiufupi mbwa aliye hai ni bora kuliko simba aliyekufa ,nenda kaandamane bila ruhusa ya polisi ,maandamano ya mtandaoni mtaweza kufanya.
 
Ujinga unaotekelezeka ni mzuri kuliko ujanja usiotekelezeka.Kiufupi mbwa aliye hai ni bora kuliko simba aliyekufa ,nenda kaandamane bila ruhusa ya polisi ,maandamano ya mtandaoni mtaweza kufanya.
Polisi wanapewa taarifa tu ili waimarishe ulinzi , halafu kingine usichokijua ni hiki , hili jambo siyo dogo na CHADEMA haijakurupuka , imejipanga haswa .
 
Kauli za Mbowe jana kwa maoni yangu zina lengo la kurejesha imani ya wajumbe kwake kwa ajili ya uchaguzi ndani ya Chama.

Maandamano hayatafanyika na Chadema itakuwa imejifedhehesha kama wakati ule wa operesheni UKUTA.

In short Mbowe yuko kwenye Mkakati wa ushindi wa Mama Samia
 
Mchungaji Msigwa alishasema kwamba, kufanya jambo lilelile, kwa njia ile ile na kuratajia matokeo tofauti, ni uwenda wazimu. CDM walishaandaa maandamano mara kadhaa na mara zote wanafeli, ni wenda wazimu.

Maandamano ya kenya yamejengwa kwa msingi wa ukabila, akiwa wa kabila lake, ataandamana, wala tusiwaige.
 
Baada ya Chama chenye nguvu kubwa na Wafuasi Wengi Nchini Tanzania, kutangaza kufanya Maandamano ya Amani ili kuionyesha Dunia uduni wa miswada ya Sheria iliyowasilishwa Bungeni November 2023, haraka tu bila kupoteza muda, baadhi ya Wadau wametangaza kuyaunga mkono na kushiriki kikamilifu.

Huyu Mdau mwingine mwenye Network ya kutosha duniani, aliyetangaza baraka hiyo na ameahidi kushiriki kuanzia maandalizi yake hadi hitimisho.

Screenshot_2024-01-14-14-20-20-1.png
 
Back
Top Bottom