Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Una maana ganiWewe uliyejaa utajiri wa fikra nenda msitari wa mbele utawaacha watoto wa Lema na Lisu wakiwa ulaya .Hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana ganiWewe uliyejaa utajiri wa fikra nenda msitari wa mbele utawaacha watoto wa Lema na Lisu wakiwa ulaya .Hongera sana
Tatizo la Pasikali hujitoa akili ili awafurahishe wateuzi, huyu kaka anajua kuwa maandamano huleta mageuzi nchini ndiyo sababu Nyerere alishiriki kabla ya uhuru. Chadema wametumia njia sahihi za awali ila watesi wao hawataki kuwasikiliza kwa utashi tu si hoja.Wewe ni mwana CCM na ushauri wako ni mbovu. Maandamano yanabadilisha Sheria kwenye nchi kubwa kama U.S sembuse huku! Sehemu nyingine hata Serikali zinatolewa kwa maandamano. Unaongea nini wewe.
Mdai arudishe akikataa nenda kamshitaki Sheria ziko waziARUDISHE KWANZA HELA ZA RUZUKU YA UCHAGUZI NA ZA ASALI AFU KWENYE MAANDAMANO AANZE YEYE NA WANAE NA MKEWE MSTARI WA MBELE
Wananchi wanaogopa kuumizwaHawajifunzi. Wanatakiwa watambue kwamba by all means watanzania siyo watu wa kuweza kusimana na kupigania haki zao.
Watanzani ni watu kimaombile wameumbwa kuunga mkono watawala na si kuwa kinyume chao.
Katika nafsi ya Mtanzania kumchallenge kiongozi ni aina ya kosa linalo share vinasaba na kosa la Uhaini.
Kwa watanzania, yeyote aliye upande wa watawala akawakusanya maelfu ma malaki ya watanzania tena kwa nguvu ndogo sana akawapeleka barabarani kuuanga mkono Mswada huu bila hoja yoyote.
Ni ngumu hata aje malaika ma mabawa yake kufanikiwa kupata hata watu 120 wa kuandamana kuupinga hata hoja zenye mashiko yalwe na nguvu vipi, hata kama hoja hizo zitasomwa na Mungu mwenyewe. Ili mradi yupo kinyume na watawala, basi watanzania hawatamuunga mkono Mungu, ingawa baadaye wataenda Makanisani ma Misikitini kuwaombea afya, baraka na mafanikio hao watawala wao.
Watoto wa lema na lisu na wake zao kamwe hautawaona kwenye maandamano,ila wanaotegemewa na familia za wanyonge ndio wako msitari wa mbele kuvunjwa miguu kisha ndugu wapate tabu kuwatibu.Una maana gani
Unataka kusema kwamba maandamano ni vita?Watoto wa lema na lisu na wake zao kamwe hautawaona kwenye maandamano,ila wanaotegemewa na familia za wanyonge ndio wako msitari wa mbele kuvunjwa miguu kisha ndugu wapate tabu kuwatibu.
Haijawai kuwa vita kama kibali kitatolewa ,kama kibali hakuna ukivunjwa mguu,haki yako ya kuandamana haiwezi kukurejeshea mguu mwingine,tutakupa pole na kuwalaumu polisiUnataka kusema kwamba maandamano ni vita?
unaulizaje swali duni kama hilo , ni hivi , mimi ndio nimepangiwa kushika kipaza sauti mbele kabisa , nadhani hiyo ndio siku mtanijua vizur
Ni kubwa jinga.Tatizo la Pasikali hujitoa akili ili awafurahishe wateuzi, huyu kaka anajua kuwa maandamano huleta mageuzi nchini ndiyo sababu Nyerere alishiriki kabla ya uhuru. Chadema wametumia njia sahihi za awali ila watesi wao hawataki kuwasikiliza kwa utashi tu si hoja.
Umeuliza swali zuri sana !Unataka kusema kwamba maandamano ni vita?
Hivi ni nani anaetoa hicho kibali kwa mujibu wa Sheria za NCHI yetu? Mimi nataka kujuaHaijawai kuwa vita kama kibali kitatolewa ,kama kibali hakuna ukivunjwa mguu,haki yako ya kuandamana haiwezi kukurejeshea mguu mwingine,tutakupa pole na kuwalaumu polisi
PolisiHivi ni nani anaetoa hicho kibali kwa mujibu wa Sheria za NCHI yetu? Mimi nataka kujua
Weka kifungu cha katiba kinachoelekeza huo ujingaPolisi
Ujinga unaotekelezeka ni mzuri kuliko ujanja usiotekelezeka.Kiufupi mbwa aliye hai ni bora kuliko simba aliyekufa ,nenda kaandamane bila ruhusa ya polisi ,maandamano ya mtandaoni mtaweza kufanya.Weka kifungu cha katiba kinachoelekeza huo ujinga
Polisi wanapewa taarifa tu ili waimarishe ulinzi , halafu kingine usichokijua ni hiki , hili jambo siyo dogo na CHADEMA haijakurupuka , imejipanga haswa .Ujinga unaotekelezeka ni mzuri kuliko ujanja usiotekelezeka.Kiufupi mbwa aliye hai ni bora kuliko simba aliyekufa ,nenda kaandamane bila ruhusa ya polisi ,maandamano ya mtandaoni mtaweza kufanya.