Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wera wera wera wera wera wera wera wera hatutaki habari za kupelekeshwa kama watoto wa chekechea .

Tunahitaji maoni ya kila mtanzania yaheshimiwe na hii ndiyi kazi halisi ya CHAMA HALISI CHA UPINZANI.

HONGERA SANA CDM
Swafi kabisa
 
Maamuzi ya busara. Japo simuamini Mbowe hadi hiyo tarehe 24 ifike.
Mbowe ni mtu anayeogopa maandamano. Natamani wakina Heche, Lissu wawe viongozi na waratibu wa haya maandamano pia waombe support ya Slaa, Mwabukusi na viongozi wa dini zote. La msingi zaidi wahusishe wanachama hai toka kwenye matawi yao.
Mwabukusi atakuwepo amesema
 
View attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.

Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024

Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Wewe utakwenda?
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?

Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .
Rais ni mgombea halafugombea huyo anawateua watakaosimamia uchaguzi. Walipteuliwa wanasikiliza sauti ya mwajiri wao ambaye ni mgombea. Uchaguzi wa aina gani huu?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama wale wabunge mafisi wa CCM watapitisha huo mswada bila ya kuzingatia maoni ya umma, kama ilivyo kawaida yao, maandamano na njia nyingine zozote za kupinga, iwe kwa shari au amani, ni halali.

Huo mswada ni uwendawazimu mtupu. Siamini kama walioandaa hawana akili kwa kiwango hicho bali wamefanya hivyo kwa dhamira chafu.

CCM ni shetani. Bila kuondokana na huyu shetani, maendeleo kwa Tanzania ni ndoto.
 
SIKILIZA MAONI YA BAKWATA YALIYOWASILISHWA NA SHEKHE MUSSA KUNDECHA KUHUSU SHERIA ZA UCHAGUZI

Sheikh Musa Kundecha kama mwakilishi wa taasisi kubwa ameonya kupitia wasilisho la BAKWATA kuwa Tanzania siyo kisiwa hatuna tofauti na nchi jirani hivyo walio katika serikali yaani chama tawala na viongozi pamoja na bunge wasikandamize watu

View: https://m.youtube.com/watch?v=9sdUfg2oASs
Mwanaharakati alhaj sheikh Musa Kundecha aneyasema hayo alipotoa maoni mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya utawala, sheria na katiba kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi na Tume ya Uchaguzi ya Taifa mjini Dodoma, Tanzania.

DIKTETA ANAPOANGUKA, 'CHAWA' WAKE WALIOBAKI WACHUKUE TAHADHARI
CCM wafahamu aliyoyafanya rais mwendazake Dr. John Pombe Joseph Magufuli 2019 / 2020 hayana nafasi 2024 / 2025 kwa kuwa mambo hayo yamepitwa na wakati pia hayavuliliki kuruhusu kupora uchaguzi, kuteka watu, kuzuia uhuru wa habari, mtu mmoja kuteka nyara mfumo mzima wa taasisi zote kujifanya yeye ni masiha / mkombozi / rambo wa kuendesha nchi kidikteta.

TOKA MAKTABA :

Njia za kuzuia au kukaribisha maandamano yasiyo na kikomo

When Dictators Fall: Preventing Violent Conflict During Transitions from Authoritarian Rule​

Conflict Prevention and Management

OUTLINE
JCM and Qatari Foreign Minister vsit Nyala

UN Photo/Albert González Farran
EXPECTED END DATE:2020•03•25PROJECT STATUS:Completed

UNU-CPR RESEARCHERS: Adam Day, Luise Quaritsch​

EXTERNAL RESEARCHERS: Dirk Druet​

Why does one country peacefully transition out of authoritarian rule while another falls into violent conflict, and what can the UN do to influence pathways away from violence?​

This paper concerns the transitions out of entrenched authoritarian rule, the often volatile moments when new leadership comes into power.​

Some transitions take place peacefully, largely within constitutional order, but others may descend into civil unrest or even escalate into all-out civil war. In support the UN’s prevention mandate, this project is driven by the question, why does one country peacefully transition out of authoritarian rule while another falls into violent conflict, and what can the UN do to influence pathways away from violence?​

This project draws on scholarship around authoritarianism and neo-patrimonial States as well as original research by United Nations University Centre for Policy Research into entrenched political systems. It identifies four key factors that may influence whether a transition tends to result in violent conflict​

Entrenched authoritarian systems are those where a leader or group has centralized power and resources in a manner that limits meaningful political and economic inclusion, instrumentalizes key State institutions, reduces democratic space and often allows a specific individual to remain in power well beyond typical constitutional limits.
  1. past forms of rule (democratic or authoritarian);
  2. the way in which a political system transitions (e.g. through a coup, election, death, transfer of power or popular uprising);
  3. the fate of the individual leader, including questions of personal property and accountability for human rights abuses; and
  4. economic performance and the degree of inequality within a given society.
It further finds that, while all regime types have experienced both violent and peaceful transitions, those that are highly personalized (vesting power in an individual rather than institutions) tend to experience greater difficulties in moving into inclusive forms of governance, which may influence longer-term prospects for peace.

In exploring a comprehensive set of cases over the past 30 years, this project also makes some broader (and often counter-intuitive) findings about the role of violence in such transitions.

The transitions that occurred with the lowest levels of violence were in systems with some of the poorest governance indicators. In fact, countries at various points on the governance scale witnessed transitions that brought about dramatic and sustained change in the distribution of power with little or no violence, a finding which suggests that the quality of governance may not be directly linked to violence levels in transitions.

In contrast, two factors did appear to correlate with relatively high levels of violence: those involving foreign intervention, and transitions triggered by public uprisings. The significant rise in frequency of popular uprisings as the dominant form of transition in recent decades has meant that transitional moments have become more prone to large-scale violence. These findings raise significant questions about the role of external actors in transitional processes, and how the international community might engage before, during and after changes in leadership.

These trends in transitions present a complex and interrelated set of challenges for the UN, which often must balance its prevention mandate alongside respect for sovereignty and host State consent. The UN is often poorly placed to ramp up its prevention activities in entrenched authoritarian systems, in part because national leadership tends to be strongly resistant to engagement on politically sensitive subjects.

Additionally, these systems tend to have weak and/or highly politicized institutions, raising dilemmas for UN efforts to build institutional capacity as a hedge against violent conflict. UN leverage over the political leadership in-country is frequently constrained, given that authoritarian leaders tend to be isolated and less susceptible to traditional forms of pressure (e.g. sanctions or moral pressure). That said, there is strong evidence from this project’s case studies that the UN has engaged in creative and impactful practices in transitional settings, helping to reduce the risks of violence and building bridges towards longer-term outcomes.

Based on these findings, the paper offers twelve conclusions and recommendations for the UN when confronted with transitional moments from entrenched authoritarian rule. READ THEM
Source : When Dictators Fall: Preventing Violent Conflict During Transitions from Authoritarian Rule - United Nations University Centre for Policy Research
767 Third Avenue, 35th Floor
New York, NY 10017
United States

.................................................................
Read More :
file-20180511-34009-xlfdmj.jpg
After 37 years, a titan falls
 
Kale kambinu kaku wawaweka exail katumike angalau miaka mitano tupumzike na MIGOGORO ya kugombea kuiongoza nchi ili tuendelee kutwezwa.
 
Naunga mkono hoja yako. Nilitegemea Sana Kwa vile serikali haijaleta schedule of amendments, huwezi kulalamikia kitu ambacho hakijafika angalau kwenye wasilisho la mwisho. Mpaka Sasa serikali inaweza kuja marekesho ambayo yatakidhi Kila kitu, je maandamano yatasimama?

..lakini serikali haijaeleza kwamba ina mipango ya kupeleka schedule of ammendments.

..kwa hiyo ni sahihi kwa Cdm kuitisha maandamano kushinikiza jambo hilo lifanyike.

..Na ni jambo zuri wamefanya kwasababu sasa mpaka siku watakayoandamana tutakuwa tunajadili ni kwanini Cdm wanataka kuandamana. Kama hoja zao za kuandamana ni za msingi au la.

..Na maandamano ya amani ni haki ya kisheria na njia sahihi ya kupeleka ujumbe kwa serikali.

..Huu ni mtihani kwa Rais Samia kama zile 4R zinafanya kazi, au ni ubabaishaji.

.
 
View attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.

Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024

Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Hiyo ndio njia sahihi ya kushinikiza kuzingatiwa kwa maoni ya wote waliyoyatoa watz ili kupata tume huru ya uchaguzi ilitakayomuondoa mkoloni mweusi aliyewafanya watz masikin wakati yy na watoto wao wakijilimbiKizia kodi zetu na kuishi maisha ya kifahari na kupeana vyeo. Nitakuwepo kwenye maandamano
 
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu na anayejitambua anayeweza kuunga mkono ujinga wa CHADEMA wa kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo. Yaani sisi watanzania na akili zetu tuandamane kuwaunga mkono CHADEMA na mawazo yao finyu ya kutuongezea mzigo wa gharama ya kuwahudumia wabunge wawili wawili kila jimbo? Kwamba CHADEMA inatuona ni wajinga sisi watanzania? Au mbowe anafikiria kuwa sisi ni wajinga kama anavyowachukulia wafuasi wake kama watu wasio na akili na wanaofanana akili Na nyumbu na wanaoweza kubadilishiwa gia mahali popote pale kama alivyofanya 2015?

Sasa kama mbowe anataka maandamano aandamane yeye na mke wake na watoto wake ndio wawe mbele .na siyo kutanguliza watoto wa watu mbele huku yeye akiwa kwenye Tv akila Minofu ya nyama nakushushia bia. Mbona hajawahi kuongoza maandamano kwa kuwa mbele? Mbona watoto wake hawajawahi kushiriki maandamano? Je Watoto wake siyo Watanzania? Mbowe aache ubabaishaji na kuficha udhaifu wake wa kushindwa kuliongoza chama kutokana na kuwa na mawazo mgando na kufika kikomo cha mwisho kifikra baada ya kukaa muda mrefu madarakani tokea 2004 .

IMG_4468.jpg
 
CCM ishachafukwa walah😄
 
View attachment 2870448
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano ya amani Januari 24 mwaka huu mkoani Dar es Salaam kuishinikiza Serikali kuzingatia maoni ya wadau kuhusu masuala ya uchaguzi.

Maandamano hayo kabambe ya kupigania haki yataanzia Jijini Dar es Salaam na Yatafanyika 24/1/2024

Taarifa hii Kabambe iliyokuwa inasubiriwa na Wananchi wote imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe mbele ya vyombo vyote vikubwa vya Habari vya Kimataifa pamoja na vyombo vidogo vya Tanzania .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Leo kaongea kwa hekima haswaa
 
Cdm wako sahihi, lakini hapa Bongo hakuna waandamanaji wa kudai haki. Kubwa wanachoweza kufanya ni kupuuza uchaguzi, lakini sioni wa kuandamana.
 
Cdm wako sahihi, lakini hapa Bongo hakuna waandamanaji wa kudai haki. Kubwa wanachoweza kufanya ni kupuuza uchay, lakini sioni wa kuandamana.
Hata viongozi tu wakijitokeza inatosha , Target ni kui allert Dunia
 
CHADEMA tumeshawajua hawana msaada tena kwa wananchi. Wapi kwa ajili ya kujijengea mazingira ya ulaji. Watanzania sio wajinga na wamewapuuza kuliko kawaida. Kwendreeeni huko.
 
Back
Top Bottom