Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
This is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.

Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?

Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.

P

Pamoja na kuwa siwaelewi CHADEMA ila lile la kukumbatia wabunge waliokataliwa na chama husika, Ilitakiwa busara itumike pale jamani....
 
Pamoja na kuwa siwaelewi CHADEMA ila lile la kukumbatia wabunge waliokataliwa na chama husika, Ilitakiwa busara itumike pale jamani....
Huyo unayemueleza jambo hilo aliambulia kura 1 tu ya Wajumbe
 
BISHOP MPEMBA : MBOWE TAYARI AMEONESHA WAPI ULIPO MZIZI WA FITNA, KWANINI WATANZANIA MNAJIFANYA HAMUELEWI

View: https://m.youtube.com/watch?v=eiI-U3b-R2c
Walaani mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bw. Albert Chalamila kuamuru askari wa JWTZ, POLISI na FFU kutoka kambini ili wafagie mitaa kwa mafagio walifanyie usafi wa mazingira jiji la DSM.

Wadau wasema hii ni dharau ya juu kwa wanajeshi wetu ambao ni wazalendo namba moja walioapa wapo tayari kupoteza uhai wao kulinda mipaka ya taifa letu dhidi ya mvamizi ...

Kwa viongozi wa aina ya hawa wa mikoa nchi inasukumwa kuagukia shimoni ...

Ibara ya 147 ya katiba ya Tanzania inatamka wazi jinsi ya jeshi linaweza kuingia ktk shughuli za kiraia, ni mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ndiye pekee mwenye mamlaka ya kuamuru jeshi kuingia mtaani na wala si namna nyingine yeyote kama amri hii harama ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kulitumia jeshi vibaya....

Kama kuna hali ya hatari inatakiwa rais aitishe kikao cha dharura bunge, ili wabunge wajadili na kupitisha azimio la kutangaza hali ya hatari ..

Watanzania lazima tulitetee jeshi letu lisiweze kuburuzwa na wanasiasa kwa matamko yaliyo kinyume kabisa na katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ....

TOKA MAKTABA
Marekani imemuwekea vikwazo aliyekuwa kiongozi mkuu wa kikosi cha ulinzi (Presidential Unit) cha aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe.
1705254815262.png

'Bodyguard' huyo brigadier Anselem Sanyatwe (pichani) anatuhumiwa kwa kuamuru waandamanaji sita waliokuwa wanapinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana 2018 wauawe.

Anselem Sanyatwe ambaye kwa sasa ni balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania amewekewa vikwazo hivyo siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika nchini. Anakuwa ni mtu wa kwanza na afisa wa kwanza wa serikali kutoka Zimbabwe kuwekewa vikwazo na Marekani tangu kuondolewa madarakani kwa rais Mugabe 2017.

More info :
Former Presidential Guard commander and Zimbabwe’s ambassador-designate to Tanzania Anselem Nhamo Sanyatwe

By Gary Raynaldo DIPLOMATIC TIMES

The U.S. Department of State has sanctioned Anselem Nhamo Sanyatwe, former Commander of the Zimbabwe National Army’s Presidential Guard Brigade and current Ambassador to Tanzania, for his alleged involvement in the killing of six unarmed Zimbabweans during post-election protests in 2018. In addition to the designation of Sanyatwe, the Department is also publicly designating his spouse, Chido Machona. The Secretary of State publicly designated Sanyatwe, under Section 7031(c) of the FY 2019 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act (Div. F, P.L. 116-6), due to his involvement in gross violations of human rights. Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The U.S. Department of State said it has credible information that Sanyatwe was involved in the violent crackdown against unarmed Zimbabweans during post-election protests on August 1, 2018 that resulted in six civilian deaths.
 
Salaam, Shalom!!

Maandamano ni HAKI ya wananchi kikatiba.

Kwanini maandamano yaongozwe na Mh Heche na Si Mkt Mbowe?

Jibu ni rahisa kabisa, Ulituaminisha kuwa Una Imani na njia ya maridhiano, hivyo baada ya KUFAIL maridhiano, kupiga gia angani na kufanya Uturn kutangaza na kuongoza maandamano Si HAKI hata kidogo.

Kamanda John Heche ni mtu sahihi kabisa Kwa sasa Kwa shift hiyo ya siasa za kiuanaharakati.

Karibuni!!🙏
 
Salaam, Shalom!!

Maandamano ni HAKI ya wananchi kikatiba.

Kwanini maandamano yaongozwe na Mh Heche na Si Mkt Mbowe?

Jibu ni rahisa kabisa, Ulituaminisha kuwa Una Imani na njia ya maridhiano, hivyo kupiga gia angani na kufanya Uturn kutangaza na kuongoza maandamano Si HAKI hata kidogo.

Karibuni!!🙏
Screenshot_2023-09-05-22-31-54-1.png
 
Umekabidhi biashara?

Isijekuwa ukawa kwenye maandamano wakati huo huo unaulizia Mzigo umefika wapi!!
Sina shaka , hii ni kwa sababu tunafanya kazi ya Mungu , usisahau kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
 
Sina shaka , hii ni kwa sababu tunafanya kazi ya Mungu , usisahau kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu .
Kuogopa kuandamana ni kufurahia mgao wa umeme nchini.

Kuogopa kuandamana, ni kukubaliana maliasili zetu kufujwa.

Kuogopa kuandamana ni kukubaliana na kupuuzwa Kwa Sanduku la kura.

Kuogopa kuandamana, ni kukubali nusu mkate kinyume na matakwa yetu wananchi

Maandamano ya Amani ya tarehe 24 January yabarikiwe.
 
Hivi mkuu wa mkoa akitangaza siku ya usafi kwa wanajeshi, sisi watu wa kufanya Maandano tunaogopa nini?.

Wao watakuwa na kazi yao sisi tupo na maandamano yetu, wao watakuwa pembezoni mwa barabara sisi tupo barabarani.

Hapo kati ya waandamanaji na jeshi kutakuwa hakuna maingiliano, pia kwanini tuwaogope jeshi? Hawapo kwa kulinda ccm bali wapo kwa kulinda nchi.

Ccm ni chama tu kama vyama vyengine ikiwa kila wakitangaza usafi kwa jeshi na sisi tunaogopa hivi tupo serious na kushika madaraka kwa uoga huu?.
 
Kuogopa uandamana ni sawa na kuogopa kumwambia mtu mwenye kiatu kikubwa aliye kanyaga kidole chako Cha mguu ukihofia atakasirika!!
 
Polisi wanapewa taarifa tu ili waimarishe ulinzi , halafu kingine usichokijua ni hiki , hili jambo siyo dogo na CHADEMA haijakurupuka , imejipanga haswa .
Theories ndio zimetufikisha hapa kama taifa , maneno mengi vitendo kidogo mkaandamane , Jeshi litakuwa linafanya usafi maeneo mbalimbali .
 
SABAYA VS MAANDAMANO

Miaka kadhaa iliyopita aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Comrade Lengai Ole Sabaya aliwahi kutoa Tahadhari kuhusu Ujanja Ujanja wa Chadema kuhusu maandamano. Sasa waambie Viongozi wa Chadema watangulize Familia zao mbele.
 
Attachments

  • Facebook 1202771697350064(720p).mp4
    5.1 MB
Maandamano ni haki ya Kikatiba.

ACHA WATU WAANDAMANE AS LONG AS HAWAVUNJI SHERIA ZA NCHI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mchungaji Msigwa alishasema kwamba, kufanya jambo lilelile, kwa njia ile ile na kuratajia matokeo tofauti, ni uwenda wazimu. CDM walishaandaa maandamano mara kadhaa na mara zote wanafeli, ni wenda wazimu.

Maandamano ya kenya yamejengwa kwa msingi wa ukabila, akiwa wa kabila lake, ataandamana, wala tusiwaige.
Tanzania hii wanaoweza kuandamana dhidi ya Maamuzi ya Serikali ni Wapemba peke yao.

Refer maandamano ya nchi nzima ya CUF Januari 21.

Linganisha na maandamano ya operesheni Ukuta... Au na maandamano mengine yoyote ya upinzani Tz.

Ndio maana wanatuona Manyani.😔😔
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema atashiriki Maandamo ya 24 January akiwa na Watoto wake wawili Shawn na Freeman

Sugu amesema ameona ni vema Watoto wake washuhudie Mwanzo wa mabadiliko kamili nchini

My take: Sidhani kama Sugu ana Uelewa wa Haki za Watoto
 
Back
Top Bottom