Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
This is where Chadema does it wrong!. Matatizo ya kisiasa, yanahitaji ufumbuzi wa kisiasa, Matatizo ya kisheria, yanahitaji ufumbuzi wa kisheria. Kwavile sheria yenyewe bado ni muswada, haijatungwa, it's OK kuandamana kushinikiza mabadiliko lakini sheria ikiisha tungwa maandamano hayasaidii kitu, it needs legal redress.
Sometimes maandamano sio solutions ya kila kitu!. Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
Rafiki yangu Zitto, niliwahi kumuuliza Zitto Kabwe na wapinzani wote, kwanini mnapiga tu kelele kuhusu udikteta bila kuchukua hatua zozote? Isn't it a nuisance? Je, 2020 ni CCM pekee?
Pia CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
P

Pamoja na kuwa siwaelewi CHADEMA ila lile la kukumbatia wabunge waliokataliwa na chama husika, Ilitakiwa busara itumike pale jamani....