Pre GE2025 CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka Leo hawana ofisi, na hawajawahi kuandamana kushinikiza mwenyekiti wao awajengee ofisi, Leo wanaandamana kuda waongeze wabunge kwenye kila jimbo, sasa hawa si ni zaidi ya ng'ombe!!
 
Wewe usiyejitambua ndiyo utashindwa kwenda kuamdamana maana wewe ni KULA KULALA hujui hata jinsi pesa inatafutwa.
 
Acha unafiki wewe
 
Ng'ombe ni babako na mamako
 
Ng'ombe Ticha wa primary unaropoka ujinga
 
Ntakuwepoooooo
 
Nataka nione watakavyoandamana kama wale wanaojiita Sauti ya Tanzania kina Mwambukusi na wapuuzi wengine 😁😁
 
Wananchi wapi wanaoshindwa kuwaamini CDM?

Kuna uchaguzi cdm ilishindwa kupata viti vya kutosha bungeni?

2020 Jiwe ndiye aliyeamua matokeo ya cdm.
 
Hue
Nasikia mkuu upo huko huko HQ muda huu.
Huu ushauri uwafikie
 
ARUDISHE KWANZA HELA ZA RUZUKU YA UCHAGUZI NA ZA ASALI AFU KWENYE MAANDAMANO AANZE YEYE NA WANAE NA MKEWE MSTARI WA MBELE
 
Akili zako za hovyo peleka lumumba huko mkajifunze jinsi ya kuongeza umasikini kwa watanzania.
 
Kabla ya sisi kuandamana tunapenda kuona Mbowe , mke wa mh.Mbowe na watoto wake wakiwa msitari wa mbele kuongoza maandamano ,Pia Lisu na mke wake pamoja na watoto wakiwa msitari wa mbele .Sisi sote tutafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…