Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Ukiwa bilionea ndo utatakiwa kubadilisha msosi? Ndo maana hatufanikiwi kwasababu ya mawazo ya kipuuzi.
 
Vibamanda
Vibumunda

Inategemea na eneo.

Songea tunaita vibamaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaah....
Basi kuna hao Samaki wanaitwa Vibambara....Kanda ya Ziwa wapo sana...
Wanakaushwa na moshi....

Uwapike uweke Nyanya chungu, Karanga...Ule na Wali akilala kesho yake Ule na Ugali.....Ni Mtamu ajabu.
 
Nilivyokuona tu nikakimbia nikasema hutaki nilale๐Ÿ˜€

but I want you to know I bear no malice against any one ๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Kwani Gily mi ndo Raisi wa chama Cha wakeshaji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค”.
๐Ÿ‘‰ I mean no malice to nobody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ