Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

Ukiwa bilionea ndo utatakiwa kubadilisha msosi? Ndo maana hatufanikiwi kwasababu ya mawazo ya kipuuzi.
 
Vibamanda
Vibumunda

Inategemea na eneo.

Songea tunaita vibamaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaah....
Basi kuna hao Samaki wanaitwa Vibambara....Kanda ya Ziwa wapo sana...
Wanakaushwa na moshi....

Uwapike uweke Nyanya chungu, Karanga...Ule na Wali akilala kesho yake Ule na Ugali.....Ni Mtamu ajabu.
 
Nilivyokuona tu nikakimbia nikasema hutaki nilale😀

but I want you to know I bear no malice against any one 😀
😂😂😂, Kwani Gily mi ndo Raisi wa chama Cha wakeshaji😂😂🤔.
👉 I mean no malice to nobody
 
Back
Top Bottom