Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #421
Ume nikumbusha kitabu Cha mafian circle😁😁😂, sema mi ni jobless tu mkuu😁Hamuaminiki nyie, nyuzi nyingine ni kama nyavu za kuvulia samaki. Mtu akijichanganya tu kanaswa.
Leo chakula, kesho kinywaji, keshokutwa aina ya dem, then mwanamuziki, aina ya muziki, maeneo ya kulia bata...hapo population ni circle vinazidi kupunguzwa, kumbe kuna mtu anafuatiliwa😃.
Ataulizwa hali ya hewa huko alipo, ataulizwa nyuzi joto, akija kustuka kitambo tu ameshazungukwa😃
Yeah, mwenye 'kazi' hawezi akapoteza muda wake, ila 'Ma jobless' hizo ndiyo zao.Ume nikumbusha kitabu Cha mafian circle😁😁😂, sema mi ni jobless tu mkuu😁
Mkuu Mbona una tufokea ma jobless😁, hatuna uhuru wa kusocialize😁😂Yeah, mwenye 'kazi' hawezi akapoteza muda wake, ila 'Ma jobless' hizo ndiyo zao.
IDs nyingi hapa JF ni 'Nyavu' za kuvulia 'Samaki'😀
Pole sana pata mda wa kutembea jioni na usiache kupata glass ya maziwaNajiskia hovyo sana wanangu mniombee
Mwambie asisahau kuweka bamia kakaNgoja kesho Mama Manka anipikie nione jinsi kilivyo hiki chakula
Nashukuru sana kwa dua zako mkuu. Niko fitiPole sana pata mda wa kutembea jioni na usiache kupata glass ya maziwa
Kuoga maji ya baridi pasi na sabuni ni dawa pia
Mkuu yaani kupona tu, ndo Umesha enda uwanja wa fisi😁😂😂🤔Nashukuru sana kwa dua zako mkuu. Niko fisi
Ina onesha huo msosi ndo ume kukuza bro💪Mwambie asisahau kuweka bamia kaka
Sema ya siku hizi madawa mengi🤒Parachichi mwaisa.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Acha hizo manMkuu yaani kupona tu, ndo Umesha enda uwanja wa fisi😁😂😂🤔
Askari wa Kirumi enzi zile walikua kamsemo kao fulani amazing sana, walikua wanasema hivi "Askari haulizi sababu", yaani akiagizwa ni kutekeleza, iwe dhidi ya mtoto wake, wazazi wake au yeyote yule na ilikua ni mwiko na uhaini kwa askari kutotekeleza amri. Hivyo basi, mpango wowote ule kabla haujamfikia Askari akautekeleze, ilipaswa uandaliwe kwa siri sana. Ilitakiwa mpango uandaliwe kwa siri sababu namna pekee ya Askari kuipinga amri hiyo, ilikua huyo Askari akisikia tu kuna amri dhidi ya watu wake wa karibu ataagizwa akaitekeleze, basi huyo Askari kitu cha kufanya ilikua ni kumuwahi kumuua mtoa amri kabla hajatoa amri.Mkuu Mbona una tufokea ma jobless😁, hatuna uhuru wa kusocialize😁😂
Hamna ka Binti keupe au ka arabu uni tambulishe 🤗Kwema kabisa, weekend murua ya kuzunguka kila jukwaa leo [emoji4][emoji4]
Endelea mkuu😁😂😂, sema mta kuja kufumaniwa huko😁😂🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Acha hizo man
Wifi wa kidijitali siku hizi wanawake kusapotiana, kama ana taarifa chap mimi nakupa kadada ka kiarabu hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ona Sasa[emoji23][emoji1787][emoji23], we huna huruma na ndugu yako[emoji855]
Fanya hivyo Sasa, Kuna sehemu nili pigwa chini😂🤣🤣😂, ila nitarudi 🤒Wifi wa kidijitali siku hizi wanawake kusapotiana, kama ana taarifa chap mimi nakupa kadada ka kiarabu hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera, sisi ndio chakula kikuu na hakiboi wala hakipoi.Kwani dagaa ni chakula cha binadamu? Mbona huku kwetu ni mwendo wa migebuka ya kuchomà na kivunde tu, hao dagaa tunalishia kuku na mbwa tu.