Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

kusema kweli mi hakuna chakula nachopenda sana had ifikie hatua niseme siwezi kuacha
Ila vyakula nisivyopenda vipo kwakeli mi hunilishi mlenda,samaki wenye shombo Kali hao wapo kule ziwa victoria unakutana na mtoto kala samaki juzi ila shombo anayo Hadi leo, kitukingine usicho nilisha ni papai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…