Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #121
Ningeshangaa mkuu, maana we hunaga baya na watu Chaliifrancisco 💪sOrRy MKUu nilikA nImeLEWa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshangaa mkuu, maana we hunaga baya na watu Chaliifrancisco 💪sOrRy MKUu nilikA nImeLEWa
sOmETiMes huwa NAzInGuANingeshangaa mkuu, maana we hunaga baya na watu Chaliifrancisco 💪
Hata hapa unavyo andika, Ni unazingua kweli😂😂sOmETiMes huwa NAzInGuA
Supu ya utumbo na chapati mbili kwa mama ntilie,ile ladha kwakweli ni unforgettable.Yani sijui huwa wanatumia dawa za mvuto,huwa nikiiona nashindwa kujizuia...Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia mengi leo.
Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
Ugali na makande?Ugali kwa hizi mboga.
Kisamvu
Mangatungu
Kikande
Pitiku
[emoji104][emoji104]
Hahahaha miwa mitatu + inahitajika dyaba kabisa. Kama huli miwa urafiki umekufa. Nakufukuza kwenye circle yangu.Unamuambia muhudumu akuletee na kisado kabisa pembeni cha kuweka maganda 😆
ohooo tumeanza kuitana wajinga tena chief?Mkuu usipende kutumia ujinga wako, ili kuthibitisha upuuzi🤔🤔.
👉Uzinzi wako unakufelisha, afu unataka wote tuwe hivyo🤔
Dah supu 1000, akati ungekunywa chai200😂😂Supu ya utumbo na chapati mbili kwa mama ntilie,ile ladha kwakweli ni unforgettable.Yani sijui huwa wanatumia dawa za mvuto,huwa nikiiona nashindwa kujizuia...
Mkuu nimekushangaa kulazimisha uzinzi😂😂. Eti tusioupenda tuna tatizo🤔, I mean no malice to nobodyohooo tumeanza kuitana wajinga tena chief?
Usijaribu kutumia dhana yako ya kuwa una akili nyingi kudhihaki na kudharau wengine.
Hii JF kwa wengine ni sehemu ya kupoteza muda, itakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kwa mtu anaejinasibu kuwa na akili nyingi kuchukulia kila kitu hapa kuwa serious.
That being said, kabla sijasahau; mjinga mwenyewe and just so you know, it takes one fool to know the other.
So uwe na siku njema mjinga mwenzangu.
Dah mkuu una sheria kali😂😂, wagonjwa wa meno wasikuzoeeHahahaha miwa mitatu + inahitajika dyaba kabisa. Kama huli miwa urafiki umekufa. Nakufukuza kwenye circle yangu.
I mean no malice to nobody, hivyo vi emoji vina maana gani🤔Ugali kwa hizi mboga.
Kisamvu
Mangatungu
Kikande
Pitiku
[emoji104][emoji104]
Wewe uwezi elewa, tembelea matajiri utajioneaa😂😂Napenda kufuhamu ni vyakula gani visivyoliwa na mabilionea
Koo unataka uwe unatumia mafuta ya taa🤔🤔😂Kumeza mate...
Dah kiporo Cha wali kisichemshwe😍, maharage ya Moto na chaiWali maharage na kiporo chake