Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

1.Ugali Dagaa....Na Chaini zilizowekwa Karanga....

2.Ndizi nyama...

3. Ugali na Utumbo uliochanganywa na mchicha....

4.Wali Maharage..

Uwueeeeeeh!!
 
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.

Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
Swali lako ni la ajabu kidogo. Mimi siyo bilionia lakini hata nikiwa bilionia nitaendelea kula vitu vyote navyokula wakati huu.
 
Ugali na mlenda.

Mtori na chapati 1

Ugali na dagaa rosted ukimix na tubamia, kakiazi na vinyanya chungu.

Wali maharage na kachumbari
Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako. Nami Kama mwana harakati katika utafutaji nikajiwazia mengi leo.

Ni chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa bilionea?
Unyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ