Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ooh pole, unaendeleaje Leo?Najiskia hovyo sana wanangu mniombee
Damu ya Yesu ikutetee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh pole, unaendeleaje Leo?Najiskia hovyo sana wanangu mniombee
Kumbe una ijuliaa😍😍Yes ya maharage, ya kunde yote yanakiwa ila Ili uinjoy weka karanga au Nazi
Duh vibama umenikumbusha mbali, sijui hata km naweza vipika Tena Sasahivikitimotoooo...vibamaaaa yani hivi vidude vinanifanya nakuwa kama mwehu nikivionaa
Ndo vi nini?? Hivyo🤔🤔Duh vibama umenikumbusha mbali, sijui hata km naweza vipika Tena Sasahivi
Amina. Mungu ni mwema hali yangu ni tulivu kiasi.Ooh pole, unaendeleaje Leo?
Damu ya Yesu ikutetee
Dah upate chapati nzitoo, maharage ya karanga ni 🔥🔥Chapati na maharage[emoji39]
Ulipima jomba🤔Amina. Mungu ni mwema hali yangu ni tulivu kiasi.
Umpate mpishi wa kuijulia ni 🔥🔥Dagaa nyasa yaani ata nikiwa na mapesa kwenye Jaba
Nasikia kitimoto in nenepesha balaa 🤔 Ni kweli??Kitimoto na ugali wa Dona na Kilimanjaro ya baridi sana .
Mkuu me Sina ukweli ndio a Hilo asee mana Mimi ni msosi wangu pendwa but nmenyooka kama kijiti .Nasikia kitimoto in nenepesha balaa [emoji848] Ni kweli??
AmenAmina. Mungu ni mwema hali yangu ni tulivu kiasi.
Yani vidudee acha tuu...mbeya ndo huwa vipooDuh vibama umenikumbusha mbali, sijui hata km naweza vipika Tena Sasahivi
Ndizi mbivu zilizoiva Sanaa,unakanda km ngano ila hapa unatumia unga wa sembe tu, inakuwa ngumu kiasi,then unatumia mikono kutengeneza km chapati ,unakaanga na mafutaNdo vi nini?? Hivyo🤔🤔
Kheri ikawe kwetu wote, kuelekea safari ya ubilionea😂😂Mkuu me Sina ukweli ndio a Hilo asee mana Mimi ni msosi wangu pendwa but nmenyooka kama kijiti .
IPO siku ntawaambia, wanitengenezeeNdizi mbivu zilizoiva Sanaa,unakanda km ngano ila hapa unatumia unga wa sembe tu, inakuwa ngumu kiasi,then unatumia mikono kutengeneza km chapati ,unakaanga na mafuta
Aisee ni vitamuuu😋😅
Dagaa rost,mixer bamia,nyanya chungu, kitimoto,ugali....We yako ipi??