Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipendi keki,tambi, ndizi za kupika,sembe,nyanya chungu,chips,kabichi,mnafu,matembele,kisamvu.
Napenda nyama sana na sijui dokta atakae nianbia nisile nyama ntamuelewaje,dona,samaki wa ziwani au maji baridi,mchicha,spinachi,matunda yote,maziwa mgando,kuku wa kienyeji tu,
Unapenda nyama za aina gani? Nyekundu au nyeupe?
Ni dhahiri ww wa pwani yani ungejua donna na nyanya chungu zins play big role kuongeza sex ability ungevitumia sitashangaa ukiniambia unapenda kulalia silesi nne za mkate na chai....Mdebwedo
Umesahau na pweza
Mimi cmjui uyo
mi nakula tu
Mhhhhhh! Ni aje weye? Ugali kwa samaki wa kukaanga pembeni kuna mchicha wa nazi pilipili kichaa au mbuzi na gudulia la maji...Acha kabisa utaona mlima wa ugali unashuka tu ukimaliza unapiga glass sita zako za maji unajisikia raha mpaka kisogoni lol!
Hupendi shombo binamu? Vyakula vya shombo sivipendi kinoma. Unakula ukitaka kumkiss mtu unajiuliza mara mbili.
Aisee!, kwa vipimo hivi lazima una umbo kama la Chicago Bulls legend himself, number 23!