Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

 
Je hiyo clip 'original' inayohusu 'mabango' aliyoitoa kwa waandishi wa habari uliisikiliza mwanzo hadi mwisho, je maudhui yake yalikuwa ni kile ulichoandika?

Nimeshangaa sana kuona vi clip you tube vikitembea kumzulia eti kasema raia waje na mabango ya kumtusi rais na watu wakashadadia na kuziamini hizo clips uchwara!

Wameunga unga maneno kwa lengo la kuuzia ama kumchafua tu lakini tuliomsikiliza kwa makini hakuna popote alipohamasisha raia kuvunja sheria wala kumtusi rais bali aliasa raia wenye shida zilizoshindikana kutatuliwa na viongozi wa chini yake, wamuone yeye moja kwa moja wasingoje mpaka rais afike.

Sasa hivi kumeibuka makundi ya chuki na tunakoelekea siko.

Vyovyote iwevyo, mteuwaji ndiye mtenguaji anajua sababu kama ni hii inayozushwa ama ni nyingine.
 
Bi mkubwa alisema hataki kuona mabango... Kero zimalizwe chini kwa chini... jamaa anahamasisha mabango mengi... Tena anakwenda mbali kuchagiza kuwa hata yakiwa na ujumbe wa matusi... Like seriously?
 
Ni wakati sasa viongozi ambao bado mko kwenye nafasi za uongozi kufikiri nini cha kufanya kabla ya kutamka au kutenda.
 
Mkuu umetumia neno 'nadhani' natumaini haujasikiliza clip hata moja kwenye mtandao wa You tube kuhusu kadhia hii.

Ninaona 'umedhani' sahihi na ndiyo ukweli.

Zipo clip mbili, moja original na moja ni fake zinatembea.

Ile original nimeisikiliza mwanzo mwisho na akasema wananchi wenye kero wapeleke malalamiko na kero hizo kwake badala ya kusubiri kunyenyua mabango rais atakapofika.

Halafu hii ya pili iliyowekwa na mtoa mada ni fake iliyotengenezwa kumchafua.

Ukitaka ukweli, tafuta muda, fuatilia You tube usikilize, utawashangaa hata great thinkers wa Jf wanavyosombwa na upepo wa kinafiki na kukubali kudanganywa kirahisi.

Hiki kilichowekwa humu hata angelikuwa mlevi asingeweza kuhutubia waandishi wa habari kuhamasisha matusi na fedheha hiyo.
 
Hakuna kiongozi hapo hata kuendelea kumjadili ni kupoteza muda...vichwa panga mara nyingi kichwani wanakua empty kabisa kabisaa..
 
Tatizo la nchi yetu hakuna vetting ya maana ndiyo maana leo akina Hapi ni viongozi
Mkuu ungependekeza kabisa ilitunapo jadili tunatoa na mfano kuwa fulani anaweza.
Tusiishie kulaumu tu tuje na suruhisho.
 
Mkuu umetumia neno 'nadhani' natumaini haujasikiliza clip hata moja kwenye mtandao wa You tube kuhusu kadhia hii.

Ninaona 'umedhani' sahihi na ndiyo ukweli...
Mkuu mbona una akili ya pimbi!
Picha nayo ni fake?
Kwani utopolo wa Chalamila umeanzia Mwanza.
Sisi tulifanya kazi yetu kuonya juu ya utaahira wa Chalamila toka akiwa Mbeya.
Kubali tu kuwa huyu Chalamila ana utaahira ulioshindikana.
Asingefungua domo lake kama kawaida yake, bado angekuwa Mkuu we Mkoa sasa hivi.
 
Mbeya walimshindwa huyu chalamila lakini Mwanza, hajamaliza mwezi wamemla kichwa na sherehe juu.
 
Sikanushi kuwa aliongea na waandishi wa habari wala sikanushi picha ile, isipokuwa ulichokiweka kwenye mada hii ni clip ya kupikwa, utopolo mtupu na chuki binafsi za dhahiri kwa kiongozi huyo.

Ingia tena You tube ili uthibitishe na kuupatata ukweli, maana clip alizofanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu ziara ya mheshimiwa rais zipo zaidi ya hiyo moja fake unayoishadadia.

Nilichotaka kusema ni kuuishi ukweli juu ya kinachoongelewa hapa kuwa kina ukweli wowote ama lah period
 
wamemuonea tu kwan kafanya baya lipi la kustaili kutenguliwa?
Ni upumbavu tu,huyu jamaa alifit sana pale Mbeya.
Angemtumbua huko huko km angetaka.
Unamwamisha mtu na familia nzima kwenda mbali huko alafu unamfukuza wiki 2???
Fikiria ahame tena toka huko kurudi kwao.
Na familia nzima
Kama si upuuzi ni nini?
Usenge tu unaendelea hapo bongo.
 
Tatizo la nchi yetu hakuna vetting ya maana ndiyo maana leo akina Hapi ni viongozi
Acha chuki binafsi, kwenu nyumbu wa saccos kiongozi wenu ni faru John tu wote waliobakia sio viongozi. Hapi ni bonge la kiongozi, kawazidi wengi tu mule saccos ya ufipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…