The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kwanini usiseme upewe wewe hiyo kazi badala ya kuweka jina la Mwanri hapo?Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.
Achaa chuki mpe muda! Mtu hata ajaanza kazi waanzaa kumtoa kasoro! Chalamila akienda sawa na Wana DSM Kama Konda Boy hatuna shida nae! Amosi alikua sound nyingi vitendo less,achaa akapambane na Machinga wa Mwanza Kina Ngosha!!!Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.
Thibitisha!!Wanaume wa Dar fanyeni kazi acheni kulia lia. Facts zenu zote zimekaa kitoto tu
Sasa chalamila ana makosa gani!? Ulitaka akatae uteuzi ili akufurahishe wwee!!??Kigezo pekee cha kushika madaraka nchi hii ni kujitoa ufahamu.
Ila kwa mkoa huu hata kichaa anaweza kuuongoza maana mijitu yenyewe haijielewi.
Hiyo huwa mnajihisi nyinyi,sisi tunajiona tuko Kama kawa!!Dar kuna wakati kama mnajiona exceptional vile?
SawaSasa chalamila ana makosa gani!? Ulitaka akatae uteuzi ili akufurahishe wwee!!??
Na wanavyojua kunuka vikwapa Sasa,Beberuu anasubiri!!!We are exceptional. Mkiamka asubuhi la kwanza mnataka kujua wa dar wana habari gani kabla hata ya kutaka kujua ya kwenu.
Tukifunga mipaka yetu msiingie huku hata sabuni ya kuogea mtakosa.
Tulia dogo taaaratibuZaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.
Utasemaje mtu hawezi kazi Dar wakati hajafanya kazi hata siku moja?Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.
Dodoma Majengo,Mishe zote ziko Dar! Hata Mama kutwa nzima Yuko Zake Magogoni na wageni wake wa kimataifa, labda akitaka kukutana na Locals ndiyo anachungulia Dom kidogo!!!Watu wa Dar mnaona kama ndiyo Tanzania
Nchi sasa iko Dodoma
Akisha zoweya Dar Sasa utamtaka na Mafuta ya kubadilsha ngozi kutoka Kariakoo anayo kabatini kwake!!Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.
Unatoa kila ahadi kuwa ukija huku utafanya kazi zote za nyumbani as long as na wewe uwepo dar.
Si siku nyingi sana nyinyi na Bashe wenu si mlisema mnauza mazao yenu huko Kenya!? Sasa kila Mtu ashinde mechi zake!!We unawaza sabuni kunguni nyie wa dar sisi tukisema hatuwauzii mchele viazi chps ugali mmeishaaa mtaregeza sauti mpaka mkauke
Karibu tena!!Sawa
CCM nzima hakuna mwenye akili or to use soft language, hakuna aliye serious na anachokifanyaZaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.