Ila kuna watu mmevurugwa π π πWanaume wa Dar mlivyo wajinga na wapumbavu, nani ashindwe kuwaongoza?
Wanaume waoga waoga mnalazimishwa kulala mapema na panya rodi sembuse kuongozwa na yeyote?
Umemjudge kutokana na hayo maskhara yake au ulishawahi fanya kazi nae?Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kaz...
Mama Samia ana huruma sana, ametumia huruma yake ya kimama kumsogeza Chalamila karibu na viwanda vya pombe. Kutoka ofisini kwake kwenda TBL atakuwa anatembea kwa miguu tu.Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi...
Acha watu wafanye kazi,wivu wa nini?Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi...
Mnatakaga wa kwenu tuZaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi...
Sasa mbona Makala Dar imemshinda!!??Mama Samia ana huruma sana, ametumia huruma yake ya kimama kumsogeza Chalamila karibu na viwanda vya pombe. Kutoka ofisini kwake kwenda TBL atakuwa anatembea kwa miguu tu.
Afu mnatakiwa kufahamu kwamba ukuu wa mkoa sio cheo serious kiviiiiile. Hata ukimteua teja kuwa RC atamudu bila tatizo.
Bill usanii usanii dar utoboii nakuambiaaUongozi wa sasa ni Comedy tu. Challa ataweza sana mkoa umekaa Kisanii mno huu.
Makalla sio mlevi; alishindwa kutumia vizuri fursa za viwanda vya pombe vilivyotapakaa Dar. Ameona amlete mlevi halisi anayetambua umuhimu wa kutumia fursa.Sasa mbona Makala Dar imemshinda!!??
Tulieni dawa ifike mahali pake!kuimudu
Na huyu hapa ameletwa ili ajifukuzishe kazi mwenyewe.Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Uzi tayari.
Thubutu yako!Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.
Unatoa kila ahadi kuwa ukija huku utafanya kazi zote za nyumbani as long as na wewe uwepo dar.
Niko kanda ya miamba ambako watu mashujaa kuzaliwaWa wapi wewe ili tujue unaongozwa na mwenye akili kiasi gani. Taja eneo tuone kama kweli ndani ya kijani kuna waliosalia!