swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Hamna cha kama kawa Labda kama kahawa.Hiyo huwa mnajihisi nyinyi,sisi tunajiona tuko Kama kawa!!
Halafu niwajinga flani tu hawana loloteDar kuna wakati kama mnajiona exceptional vile?
Acha kukariri maisha we mjinga tembea uone kwahiyo viwanda vya sabuni Moro,Dom,Arusha havipo?tafuta pesa huo ujinga haukusaidii.We are exceptional. Mkiamka asubuhi la kwanza mnataka kujua wa dar wana habari gani kabla hata ya kutaka kujua ya kwenu.
Tukifunga mipaka yetu msiingie huku hata sabuni ya kuogea mtakosa.
Niwajinga sana halafu hawana lolote lamaana.Watu wa Dar mnaona kama ndiyo Tanzania
Nchi sasa iko Dodoma
Dar kunanini cha ajabu? nimekwambia acha kukariri ujinga haukusaidii.Hapo tukifungua inbox ya kismart tochi chako kimejaa msg kibao ukimuomba dada yako akuombee kwa shemeji yako utumiwe nauli uje dar kushangaa magorofa.
Unatoa kila ahadi kuwa ukija huku utafanya kazi zote za nyumbani as long as na wewe uwepo dar.
Kwanini asiweze kunanini cha ajabu hadi asiweze?Kuna kiongozi amezaliwa anajua kila kitu au ni kujifunza pia sehemu ya kazi.
?
Unaweza kushangazwa huyo jamaa akauweza huo mkoa vilivyo kuliko wote.
Mpe muda
Kwahiyo matombo niwapi we kengeSasa unadhani Tanzania ni huko kwenu matombo?
Huyo nimpumbavu anampangia RaisWewe unaakili kuliko taasisi ya urais?,acha tabia za kimalayamalaya
Kwani uongo acheni umalaya wakijingajinga kulalamika kilakitu mampangia Rais nyie nani?Thibitisha!!
Umeelewa nilichojibu kabla ya kuniquote?
Kwahiyo wengine hawana mishe zakazi sindio?endelea kukalili maisha watu wanapiga pesa umekalia upumbavu naujinga.Dodoma Majengo,Mishe zote ziko Dar! Hata Mama kutwa nzima Yuko Zake Magogoni na wageni wake wa kimataifa, labda akitaka kukutana na Locals ndiyo anachungulia Dom kidogo!!!
Niwapumbavu sana halafu hawana lolote lamaana.Watu wa Dar es salaam sijui huwa mnajionaje yaani ni kama ninyi mnatoka nchi nyingine tofauti na Tanzania, kama kaongoza wanachi wa Mbeya, Mwanza, Kagera ninyi mna tofauti gani na hao Watanzania wa hiyo mikoa? Acheni ulimbukeni.. kama mliongozwa na Makala kwa nini Chalamila asiwaongoze kwanza Makala anaingia mara 100 kwa Chalamila.
Haya ni Muzungumzo baada ya habari Mkuu usikariri sana kua kila Mtu ana shida ya kutafuta pesa, wengine pesa zinawatafuta wao popote walipo !! Usikasirike Mkuu!!!Kwahiyo wengine hawana mishe zakazi sindio?endelea kukalili maisha watu wanapiga pesa umekalia upumbavu naujinga.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Sasa hili Povu wajameni!!!Hamna cha kama kawa Labda kama kahawa.
Na hili nalo mkaliaangalie pia!!!
Inaonekana una shida sana ya pesa bro!!Acha kukariri maisha we mjinga tembea uone kwahiyo viwanda vya sabuni Moro,Dom,Arusha havipo?tafuta pesa huo ujinga haukusaidii.
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app