Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Rekebisha makamu wa ma jobless pro max ni Monetary doctor, ongeza waziri wa ulinzi ni Thecoder
 
Kesho itaitiswa POLL na POLL Ita amuua nampenda Sana intelligent business ni moja ya watu wachache wenye namba zangu za simu pia kijana maskini ni MSHIKAJI wangu Sanaa..


Let's POLL decide πŸ€“πŸ˜πŸ˜†πŸ˜ƒ
 
Halafu uki geuzwa msukule uanze kulalamika
Kwenye hizo sekta huna pa kunigusa, tena huko usiingie kabisa utatoka umekaukwa mate ona kitu nilichofanya tarehe 24.πŸ‘‡

 
Sina maneno mengi, una dhani hela zako zili ondoka vipi ?,

Nili nusa harufu ya usaliti, nikaona acha niku sambaze mapema
dosho12, Selikavu, Edo kissy, Razorblade kumbe huyu hani jui πŸ˜‚πŸ€£πŸ¦…
 
Bora mwanasheria umeingilia kati na nilishasema haikubaliki kumpindua Rais wetu
ni UHAIN!
 
Sina maneno mengi, una dhani hela zako zili ondoka vipi ?,

Nili nusa harufu ya usaliti, nikaona acha niku sambaze mapema
dosho12, Selikavu, Edo kissy, Razorblade kumbe huyu hani jui πŸ˜‚πŸ€£πŸ¦…
hakuna mabadiliko yanayokuja mezani kama sahani la chai, muda wako umekwisha sasa akili yako imefika ukomo wa kufikiri juu ya uongozi wa chama, naiweka kaulimbiu rasmi hapa.

Utang'oka tu.
 
Kweli tajiri Hana baya kawa masikini mwenye mabaya.
Gerara here asitutanie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…