Waspobadilika wataendelea kuja na malalamiko uliyoandika hapo juu kizazi baada ya kizazi
Upinzani imara hauwezekani bila nguvu ya wananchi, na nguvu ya wananchi haiji kwa kulalamika ila kwa siasa zinazowaonyesha njia sahihi ya kumaliza matatizo yao ikiambatana na vitendo na sio blahblah
Matamanio yangu ni kuona siasa kwa ustawi wetu sote
Nasubiria ushawishi wako kwangu walau nikupigieni kura siuoni
Nguvu ya wananchi unayoiongelea ww ni ya kupambana na vyombo vya dola.
Unataka kuona ushawishi wa kisiasa kwa vigezo vya kiccm. Mimi sihitaji kura yako maana sihitaji uongozi popote. Tafuta wanaotaka uongozi uwape kama watakuwa na sababu za kiccm za kukuridhisha.
Sasa Bashiru kuwa mwenyekiti wa chama ndio anguko lingine kwa hilo zoezi!?
Wengi wa wanasiasa wa vyama pinzani Tanzania hawana nia ya dhati ya kupeleka nchi kwenye maendeleo ya watu. Ndio maana upinzani unazidi kuwa dhaifu siku baada ya siku
Mungu ibariki Tanzania
Chama cha mazuzuHicho chama kingeitwa Mazuzu Party ingependeza.
CCJChama cha Umoja===> CCU.
hoja za wanaccm ukizisikiliz hazina kichwa wala moguuVyombo vya dola navyo vinaendeshwa na wananchi; au hujui vyombo kama police na jeshi vinategemezwa na wananchi kama mimi na wewe!?
Tatizo ni kwamba hakuna chama imara upinzani na cha kuweza kushika dola hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kucheza huo upatu wa kuweka nchi rehani
Mungu ibariki Tanzania
Vyombo vya dola navyo vinaendeshwa na wananchi; au hujui vyombo kama police na jeshi vinategemezwa na wananchi kama mimi na wewe!?
Tatizo ni kwamba hakuna chama imara upinzani na cha kuweza kushika dola hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kucheza huo upatu wa kuweka nchi rehani
Mungu ibariki Tanzania
Kichwa kipo na miguu ipo ila moguu hamnahoja za wanaccm ukizisikiliz hazina kichwa wala moguu
Chagadema imekwisha kufa kwa ku.pinga magufuliWananchi hatutaki chama kipya,Tunataka katiba mpyaaaa
Ama kweli lisemwalo lipo kama halipo laja
Kweli kwanza huyo Mkwere maisha yake yamekwisha usikute 2025 asifikishe maana ndiyo adui no 1 wa tz na hatima ya tzMstakabari wa nchi hii hauwezi kuamliwa na kundi cha kiiwete.
Lazima wenye akili tutumie akili kuona tutakomboaje nchi hii
Sasa sindoupinzani wenyewe au?Mwali, hapo hakuna upinzani bali ni ccm walewale (magifuli) wenye mrengo na mtazamo tofauti na hii ccm ya mama
Even Magufuli was guaranteed to rule over 20 yrs by the same short sighted people!I can guarantee you, CCM will continue to be the ruling party for the next 10 millenniums.
Even Magufuli was guaranteed to rule over 20 yrs by the same short sighted people!I can guarantee you, CCM will continue to be the ruling party for the next 10 millenniums.
Even Magufuli was guaranteed to rule over 20 yrs by the same short sighted people!
What happened? History
Only fools can ignore the existence of power of God,nature and time which force the changes and the end of everything including CCM.
Jamani tumuache mama atawale