Fasihi hiyo mkuu, Sio kila kitu unakichukilia kama kilivyo

Chalamila ni mchapa kazi sana sana, Tatizo Lake ni maneno mengi sana, Hata kitu kidogo anakikuza

Chalamila akiwaka na kama msaidizi wake nae akawaka mkoa utachimbika, Hofu itatawala

Magufuli alikuwa anawaka sana lakini Mama Samia alikuwa cool ndio uongozi

Kikwete alikuwa cool lakini lowasa alitikisa kama Waziri mkuu

Baba na Mama wote wakiwa wakali nyumbani upendo unapotea

Inabidi Baba akiwaka Mama anawapeti peti watoto

Au Mama akiwaka Baba unawapa faraja watoto

Wazazi wote wakiwa wakali nyumba mnakimbiana
 
Mwanza siyo mkoa wa kufanyia majaribio. Watanyosha mikono wote.
Huko simmasema ni kitivo cha ile Gang iliyokwamia awamu yake. Hapa inaonyesha dhamira yako ya kupalilia matendo yake ya chiki na ukanda.
 
Kwaiyo ujaelewa anamaanisha nini!!,
Chalamila mpayukaji sana, na Samike mkimiya lakini ni mtu wa kitengo muhimu (mwenye mambo mengi,)
Na mwisho wa siku Samike ndio anaenda kuwa RC wa uho mkoa.
Maana Chalamila kiukweli akili zake anazijua mwenyewe
 
Watu wa Bara mtapata taabu sana na Kiswahili Cha Mama! Mama ananikumbusha Kiswahili Cha Mzee Mwinyi alipokua anampigia Kampeni Mkapa pale Jangwani! Aliuliza kina Baba huko nyuma mtaampaa!? Je kina Mama huku mbele mtaampaa! Basi watu wote wakaitia ndiyo tutampaa!! Ila Wajanja tukasanuka,tukakataa kuitikia!!
 
Mpambane na hali zenu, watu wameumbwa tofauti.
 
Watanzania tunapenda penda sana ku-gross misinterpret kauli za mama Samia - hivi inaingia akilini kwamba Rais anaweza kweli ku-appoint viongozi vilaza!! Alicho kisema pale ni utani tu hakumaanisha kwamba viongozi hao wawili ni POLES APART.
 
Acha tafsiri za hovyo,kwani magu pia alikuwa mripukaji kwani alikuwa bomu?
 
Mh Chalamila ni mkweli,mjenzi wa hoja mzuri... Ni kiongozi mzuri,msikivu ukiwa na jambo la maana...si mwanasiasa... Napenda falsafa zake, huwa ni anasoma vitabu
 
siyo bomu tu.kimoto cha njiti ya kiberiti kinalipuka pia.maneno. Sauti ya radi ni sauti ya mlipuko.
Pancha ya tairi ya baiskeli au gari.nk

Kabang. Ukipiga pipa.
Mlipuko wa kipindupindu .covid.ebola nk siyo Bomu lile usikariri.
 
Hivi TAMISEMI ni masuala ya muungano au Tanganyika?
 
anaapisha kwa mujibu wa taratibu za nchi, anachofanya kiko kwenye Sheria, sasa kama Sheria itamruhusu kuchagua wajumbe wa nyumba kumi pia atafanya hivyo bila tatizo
Kesho ataapisha wamachinga hapo Bukene mjini karibu na station, wamachinga oyeeeee!
 
Kesho ataapisha wamachinga hapo Bukene mjini karibu na station, wamachinga oyeeeee!
Kama Sheria inatambua hilo wala hakuna tatizo, maana itakuwa ni jambo la kisheria , Ata akimwapisha Muuza supu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…