Wakati wa mgogoro wa Syria kupitia Arab Spring, Wachambuzi walisema Urusi haiwezi kuruhusu Syria kuanguka kwa sababu nchi za Ulaya zinataka kukwepa kununua gesi ya Urusi na hivyo kutaka kupitisha bomba la gesi kutoka Qatar hadi Ulaya. Je kuanguka kwa Asad jambo hili litafanikiwa na kutakuwa kuna matokeo gani hasi kwa Urusi?