Changamoto tunazokutana nazo wanaume wanene faragha


Ungekuwa unene ni ugonjwa nibgekufariji, unene ni choice, unaweza kujitahidi!
 

Kuleni tu hamna sehemu nyingine ya kula zaidi ni hapa hapa Duniani hivyo kula tu kilichombele ilmradi ni cha halali
 
Hilo komwe hapo kwenye dp ni wewe mkuu??
 
hamna namna unaweza kupunguza huo unene, maana ushauona ni tatizo, unafikiri kwa mkeo ni tatizo kiasi gani sema hakuambii tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…