Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

“.....Kama mume na mke...”, sasa hiyo kamera iliyotuchungulia kwa miezi mitatu kuona kama tuliishi kama mume na mke sijui mtaitoa wapi 😂😂😂..
 
Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
Nikiishi na dada yangu (ni mwanamke) kwa siku 90 anakuwa mke wangu kwa sheria za Tz au sio? Hivi utaahira ni kipaji kumbe?
 
Kweli utaahira ni kipaji, hivi nikiishi na dada yangu miezi mitatu (ni mwanamke pia), kwa hizo sheria zenu anakuwa mke wangu, thats Fck up shit!
 
Kwa mujibu wa Dini ya Roma Ni kuwa wewe unaishi na hawara.Huna sakrament ya ndoa.Sujui Dini. Zingine zinasemaje.
Hakuna aliyepinga kwamba unaishi na hawara au whatever, kikubwa ni kukataa ndoa! Wewe oa, ila ndoa hapana!
 
Umejibu kwa weledi wa hali ya juu. Hata huko China wanaposifiwa kupiga kazi huwezi kuta wachina wako sokoni wanabeba magunia ya viazi mabegani.. kila kitu wanatumia mashine. Pia kukuta mtu anatembea umbali mrefu ni nadra kwa sababu wana usafiri wa kila aina.. yaani maisha yamerahisishwa mno mchawi ni hela yako tu. Kimsingi kwa sasa walioendelea wanapambana na muda. Sisi huku tunalazimishana tuishi kama walivyoishi vijana wa TANU.

Halafu vijana hawajakataa ndoa labda kwasababu wana matatizo ya kiafya... tatizo ni vimbwanga vinavyoanzia wakati wa uchumba kuelekea ndoa. Kabla ya kuwalaumu vijana tuwalaumu wanaharakati wanaowaambia wanawake wawakatae watu wasiowahudumia. Siku hizi hakuna huruma wala utu kwa mtoto wa kiume.. lawama zote kwake. Akishakutana na changamoto ya kulazimishwa kuhudumia bila kujali uchumi wake anakutana na huyu mleta mada anaemsimanga kwamba hana nguvu za kiume au anapenda ushoga.

Dunia inapaswa kujirekebisha kwenye haya mambo yanayoitwa haki za wanawake. Kinachofanywa na wanaharakati ni ushenzi mtupu huku wengi wao wakiwa hawana waume. Kijana asiyetaka ndoa asilazimishwe.
 
Nawashauri msikatae ndoa bali piga maombi kwa Mola wako ili upate uliyeandikiwa. Najua wengi tunaoa wake za watu, basi omba uoe mke wako halisi. Mke halisi ni yule wewe mwenyewe umeondoa usichana wake.
Hivi, unaweza kuandikiwa mwanamke feminist? Kwani maandiko yanasemaje kuhusu mahusiano ya mume na mke katika ndoa!
Anza kupinga kwanza feminism ndo utetee utapeli wa ndoa.
 
Sheria inasema ukiishi na mwanamke pamoja kwa siku 90 hiyo ni ndoa tayari hivyo hakuna excuse ya kuwa huyu hakuwa mkewangu kwakuwa hatuna cheti... Je hili mlikuwa mnalijua?
Weka hapa hicho kifungu cha sheria tusome wote. Mbona unaongea bila vithibitisho?
 
Hauko sirias kabisa, population of M 60 ndiyo sababu ukose chakula asili nakati hata Nigeria wako zaidi ya M 214.4 lakini bado wanakula vyakula vya asili chungunzima.

Kazi soft si kigezo mwili wako ushindwe kutoa jasho, mbona mi mwenyewe nafanya kazi hizo hizo za computerized system lakini natumia muda wa ziada kufanya mazoezi zaidi ya dakika 80 nikikimbia zaidi ya KM 16 + dakika 20 kufanya mazoezi ya viungo, push up, squash kwa kila baada ya siku 1 na Mungu ni Mwema kwangu sijawahi kuugua kwa zaidi ya miaka 15 iliyopita?

Muwe Me wa leo na kesho, siyo kuwa walaini laini kama Ke ambapo hata ile Men personality inakuwa haipo kabisa, yani si dhambi kufanya white collar jobs lakini ni dhambi kubwa sana Me kukosa namna ya kuujenga mwili kiafya kwa kuzingatia lishe bora na kucheki afya mara kwa mara.

Yani dume zima na rijali kabisa linatoka Kariakoo Gold Star kwenda Mnazi Mmoja haliumwi, halina haraka wala sababu ya msingi lakini linaounbazika na kupanda gari utadhani akitembea mdogo mdogo atakufa daaah...[emoji119][emoji3]

Wanaume tunapungua kwa kasi sana, ndiyomaana hatuna kabisa uanaume na kuamua kuhamasisha upumbavu wa kutooa ili kukwepa uwajibikaji bora wa Mume sahihi katika ndoa.

Mungu tusaidie kizazi hiki, Amina.
 
Wanaume tunapungua kwa kasi sana, ndiyomaana hatuna kabisa uanaume na kuamua kuhamasisha upumbavu wa kutooa ili kukwepa uwajibikaji bora wa Mume sahihi katika ndoa.[emoji818][emoji817]
 
Wanaume tunapungua kwa kasi sana, ndiyomaana hatuna kabisa uanaume na kuamua kuhamasisha upumbavu wa kutooa ili kukwepa uwajibikaji bora wa Mume sahihi katika ndoa.[emoji818][emoji817]
Wewe kichwa kigumu sana, umeshaambiwa watu hawakatai kuoa, wanakataa ndoa.., bado unakaza kichwa tu 😃
 
Elimu ya maarifa ni kitu muhimu sana.. Beijing isiwe kisingizio cha kukwepa ukweli usiosemwa
 
Inaonekana una uelewa mdogo mno. Sisi tunakataa ndoa ya kanisani/msikitini au Bomani inayompa haki zote mwanamke na watoto na kumpuuza mwanaume. Hatujawahi kupinga mahusiano ya mwanaume na mwanamke.
Binafsi nina watoto na nazichakata mbususu kisawasawa lakini sijawahi na sina mpango wa kuoa kutokana na madhara nnayoyaona kwa ndugu na jamaa wenye ndoa.
Ndoa ni hatari kwa afya
2023 #KATAANDOA
 
Ndo umefanya nini sasa, unapinga hoja alafu mwisho unaiunga mkono!?
Kifupi, wanaounga mkono ndoa hawana hoja yoyote yenye mashiko ila wanatetea kile wanachokiishi kama ambavyo mzazi mwenye mtoto mwizi anavyoweza kumtetea mwanae asiuawe na wananchi wenye hasira kali ilihali akijua mwanae ni mwizi kweli na hafai katika jamii!
2023 #KATAANDOA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…