Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu, kukata masega ndo kufanyaje?Aisee gari za kuagiza nje changamoto ni bei tuu.. Ila stori za kukata Masega huwezi kukuta..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kukata masega ndo kufanyaje?Aisee gari za kuagiza nje changamoto ni bei tuu.. Ila stori za kukata Masega huwezi kukuta..!
Ni kufanya uhuni..Mkuu, kukata masega ndo kufanyaje?
Hv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake halafu nikampigia?? Ni kwanini watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?Hio ilikuwa gari ya kulenga, gari za hivyo huwa zimenyooka na bei kitonga sababu huwa unaipata kwa mwenyewe na haijapitia mikono mingi.
Atakwambia muone kwanza dalaliHv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake afu nkampigia?? N kwa nn watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
Labda huwa nanunua na kuuzaHahaha yule jamaa kila gari utasikia mi ndiyo mmiliki Halali wa hii gari.sasa jamaa sijui ana gari ngapi za kwakwe.. wakati tuna mjua ni dalali.
Madalali wengine wanaijua hiyo style wanawapigaga wenzao dafrauHv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake afu nkampigia?? N kwa nn watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
Sure.. Sio kitu kibaya kuwa na dalali/agent.. Changamoto ni hao madalali kufanya ujuaji mwingi.. Kutokuwa waaminifu..Siku hizi kununua gari bila dalali imekuwa vigumu sana..yani wanaopata fursa za magari ya kulenga ni hao madalali na mafundi tu
Hii unaenda ofisin TRA au kuna njia ya kupitia mtandaoni.Hv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake afu nkampigia?? N kwa nn watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
Ukiona mtu anajisemesha mimi ndio mmiliki bila hata kuulizwa moja kwa moja huyo ni dalaliHahaha yule jamaa kila gari utasikia mi ndiyo mmiliki Halali wa hii gari.sasa jamaa sijui ana gari ngapi za kwakwe.. wakati tuna mjua ni dalali.
Hahaha kweli kabisa mkuuukiona mtu anajisemesha mimi ndio mmiliki bila hata kuulizwa moja kwa moja huyo ni dalali
Dafrau ndo nnmadalali wegine wanaijua hio style wanawapigaga wenzao dafrau
Sijawahi fanya hii kitu... Its just an idea ambayo nilikuwa nayo. Kwa hiyo sina uhakika inafanyikajeHii unaenda ofisin TRA au kuna njia ya kupitia mtandaoni.
Msaada
Duh hatari..Befoward lazima uwe na 10+ milioni
Issue ni kuipata hiyo milioni kumi
Na ukikopa benki maana yake umenunua kwa milioni 18
Hii n ngumu. Mnunuz anaweza kujifanya hajalikubali gari hvyo anakwambia yy hawez nunua, kumbe kashachukua contact za mmilik wa gari afu badae wanaenda kumaliza biashara kivyao bila ww dalali.Sure.. Sio kitu kibaya kuwa na dalali/agent.. Changamoto ni hao madalali kufanya ujuaji mwingi.. Kutokuwa waaminifu..
Wangetakiwa kuwa na proper ofisi..then wamconnect muuzaji na mnunuzi..muuzaji na mnunuzi wakishamalizana then wao wawe wanacharge percentage ya mauzo..!
Mmiliki anakataa kuuza gari mpaka upitie kwa agent..!Hii n ngumu. Mnunuz anaweza kujifanya hajalikubali gari hvyo anakwambia yy hawez nunua, kumbe kashachukua contact za mmilik wa gari afu badae wanaenda kumaliza biashara kivyao bila ww dalali.
Huyo mmiliki atakuwa mpuuzi.. Mimi siwezi acha hela.Mmiliki anakataa kuuza gari mpaka upitie kwa agent..!
Kanzu yaniDafrau ndo nn