Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Changamoto ya kununua magari ya mkononi

Hio ilikuwa gari ya kulenga, gari za hivyo huwa zimenyooka na bei kitonga sababu huwa unaipata kwa mwenyewe na haijapitia mikono mingi.
Hv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake halafu nikampigia?? Ni kwanini watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
 
Hv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake afu nkampigia?? N kwa nn watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
Atakwambia muone kwanza dalali
 
Hv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake afu nkampigia?? N kwa nn watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
Madalali wengine wanaijua hiyo style wanawapigaga wenzao dafrau
 
Siku hizi kununua gari bila dalali imekuwa vigumu sana..yani wanaopata fursa za magari ya kulenga ni hao madalali na mafundi tu
 
Sure.. Sio kitu kibaya kuwa na dalali/agent.. Changamoto ni hao madalali kufanya ujuaji mwingi.. Kutokuwa waaminifu..
Wangetakiwa kuwa na proper ofisi..then wamconnect muuzaji na mnunuzi..muuzaji na mnunuzi wakishamalizana then wao wawe wanacharge percentage ya mauzo..!
 
Hv kwa mfano dalali kapost gari inauzwa lakn sitaki kupitia kwake, si naweza kuchukua plate namba nikaingia kwny system ya TRA nikamfahamu mmiliki wa gari na contact zake afu nkampigia?? N kwa nn watu wanakubali kununua kwa madalali ili wapigwe cha juu?
Hii unaenda ofisin TRA au kuna njia ya kupitia mtandaoni.
Msaada
 
Sure.. Sio kitu kibaya kuwa na dalali/agent.. Changamoto ni hao madalali kufanya ujuaji mwingi.. Kutokuwa waaminifu..
Wangetakiwa kuwa na proper ofisi..then wamconnect muuzaji na mnunuzi..muuzaji na mnunuzi wakishamalizana then wao wawe wanacharge percentage ya mauzo..!
Hii n ngumu. Mnunuz anaweza kujifanya hajalikubali gari hvyo anakwambia yy hawez nunua, kumbe kashachukua contact za mmilik wa gari afu badae wanaenda kumaliza biashara kivyao bila ww dalali.
 
Back
Top Bottom