canne siame
Member
- Sep 17, 2015
- 5
- 5
Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo mbaya zaid wamenambia nitumie paypal cha ajabu kwa account yangu hakuna option ya kulipia kwa paypal cjui ni kwa wote au la
Kama kuna yeyote aliekutana na hii kadhia tujulishane alifanyaje au itakua ni mfumo tu umeyumba kwa siku za hvi karibuni nimekua nikilipia mara kadhaa hvyo hii imekuja ghafla tuu juzi hapa
picha inaonesha message nayoipata nikitaka lipia