Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 954
- 1,417
Mkuu njia salama zaidi kati ya posta na huyo Courier ni ipi ?Aidha Posta au kupitia courier wao yupo mbele ya nyumba ya Kikwete ukitokea Zantel kuelekea Kariuki Hospital.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu njia salama zaidi kati ya posta na huyo Courier ni ipi ?Aidha Posta au kupitia courier wao yupo mbele ya nyumba ya Kikwete ukitokea Zantel kuelekea Kariuki Hospital.
Tuelekeze hatuaWacha kupoteza muda huenda huna salio la kutosha .mbona mimi nafanya kwa voda na inafanya kazi
Ukijaza mkoa wako ulipo, namba ya simu na jina lako kwa usahihi tu bila kukosea mzigo utakufikia... Kwa Mwanza utaupata posta kuu ya mkoa pale Nyamagana ipo maeneo ya Kamanga kule.. Hakikisha unajaza majina ambayo yako sawa na kitambulisho chochote halali ulichonacho, kwa maana siku ya kufata mzigo wako watahitaji ku confirm kama ni wewe kweli mwenye mali..Me nipo mwanza na postal code sina
Asante na vp huko posta charges zao zikojeUkijaza mkoa wako ulipo, namba ya simu na jina lako kwa usahihi tu bila kukosea mzigo utakufikia... Kwa Mwanza utaupata posta kuu ya mkoa pale Nyamagana ipo maeneo ya Kamanga kule.. Hakikisha unajaza majina ambayo yako sawa na kitambulisho chochote halali ulichonacho, kwa maana siku ya kufata mzigo wako watahitaji ku confirm kama ni wewe kweli mwenye mali..
Ila we jamaa una maswali ya mengi, mzigo ukisha lipia shipping unalipia nini tena ?Asante na vp huko posta charges zao zikoje
Hawa kaa nao mbali sana, nilisumbuka sana kupata hela yangu refunded from AliExpress, mpaka niliwashataki kwa BOT ndio nikafanikiwa, na baladala ya laki 6 wamenirudishia laki 5.3.Tumia Tigo master card
Postal code zipo Tanzania nzima ila hawajaziwekea mkazo kuzitumia. Pakua application inaitwa NaPA utaona. Ila cha maana ni namba ya simu kwani hutaletewa mpaka nyumbani bali utapigiwa simu ufuate.Me nipo mwanza na postal code sina
Hiyo anaamua supplier wako lakini zote salamaMkuu njia salama zaidi kati ya posta na huyo Courier ni ipi ?
Posta ya Mwanza ya kís3ngë sana lazima alipie tu hata awe kaagiza pin huko China[emoji625] ya Mia Mbili ifikie hapo Nyamagana, unless otherwise kuna mtu anajuana nae pale posta...Ila we jamaa una maswali ya mengi, mzigo ukisha lipia shipping unalipia nini tena ?
Kwa free shipping haulipii chochote sijawahi kupata mzigo poster kwa AliExpress mzigo wa free shipping unapokelwa speedaf ofisi .
Na previous tushakuambiabofice za speedaf sahivi ziko pale cbe ya zamani ingia mule shopping mall office Iko upande wa kushoto mwishoni kwa jengo uliza hapo watu watakusaidia UZuri mzigo ukishafika unapigiwa simu hofunyako nini?
Kama ni office tushataja mara mia
Mizigo inayoendaga posta ni. Ya Amazon na ebay huko ndo unaweza lipia.
Agiza mzigo ujifunze agiza ata wa 2000
NB kila mtu atakujibu kulingana alivyopokea wengine mara moj mara mbili wengine tunaagiza mfuluizo kwa miaka minne Sasa natumia zaidi alibaba