Changamoto ya malipo aliexpress

Changamoto ya malipo aliexpress

Aidha Posta au kupitia courier wao yupo mbele ya nyumba ya Kikwete ukitokea Zantel kuelekea Kariuki Hospital.
Mkuu njia salama zaidi kati ya posta na huyo Courier ni ipi ?
 
Me nahitaji kufaham hili, ukitumia postal code ya mtaa mzigo ukifika unaenda kuuchukulia ofisi za serikali ya mtaa husika au inakuwaje
 
Me nipo mwanza na postal code sina
Ukijaza mkoa wako ulipo, namba ya simu na jina lako kwa usahihi tu bila kukosea mzigo utakufikia... Kwa Mwanza utaupata posta kuu ya mkoa pale Nyamagana ipo maeneo ya Kamanga kule.. Hakikisha unajaza majina ambayo yako sawa na kitambulisho chochote halali ulichonacho, kwa maana siku ya kufata mzigo wako watahitaji ku confirm kama ni wewe kweli mwenye mali..
 
Asante na vp huko posta charges zao zikoje
 
Asante na vp huko posta charges zao zikoje
Ila we jamaa una maswali ya mengi, mzigo ukisha lipia shipping unalipia nini tena ?

Kwa free shipping haulipii chochote sijawahi kupata mzigo poster kwa AliExpress mzigo wa free shipping unapokelwa speedaf ofisi .

Na previous tushakuambiabofice za speedaf sahivi ziko pale cbe ya zamani ingia mule shopping mall office Iko upande wa kushoto mwishoni kwa jengo uliza hapo watu watakusaidia UZuri mzigo ukishafika unapigiwa simu hofunyako nini?

Kama ni office tushataja mara mia

Mizigo inayoendaga posta ni. Ya Amazon na ebay huko ndo unaweza lipia.

Agiza mzigo ujifunze agiza ata wa 2000

NB kila mtu atakujibu kulingana alivyopokea wengine mara moj mara mbili wengine tunaagiza mfuluizo kwa miaka minne Sasa natumia zaidi alibaba
 
Tumia Tigo master card
Hawa kaa nao mbali sana, nilisumbuka sana kupata hela yangu refunded from AliExpress, mpaka niliwashataki kwa BOT ndio nikafanikiwa, na baladala ya laki 6 wamenirudishia laki 5.3.
 
Me nipo mwanza na postal code sina
Postal code zipo Tanzania nzima ila hawajaziwekea mkazo kuzitumia. Pakua application inaitwa NaPA utaona. Ila cha maana ni namba ya simu kwani hutaletewa mpaka nyumbani bali utapigiwa simu ufuate.
 
Ila we jamaa una maswali ya mengi, mzigo ukisha lipia shipping unalipia nini tena ?

Kwa free shipping haulipii chochote sijawahi kupata mzigo poster kwa AliExpress mzigo wa free shipping unapokelwa speedaf ofisi .

Na previous tushakuambiabofice za speedaf sahivi ziko pale cbe ya zamani ingia mule shopping mall office Iko upande wa kushoto mwishoni kwa jengo uliza hapo watu watakusaidia UZuri mzigo ukishafika unapigiwa simu hofunyako nini?

Kama ni office tushataja mara mia

Mizigo inayoendaga posta ni. Ya Amazon na ebay huko ndo unaweza lipia.

Agiza mzigo ujifunze agiza ata wa 2000

NB kila mtu atakujibu kulingana alivyopokea wengine mara moj mara mbili wengine tunaagiza mfuluizo kwa miaka minne Sasa natumia zaidi alibaba
Posta ya Mwanza ya kís3ngë sana lazima alipie tu hata awe kaagiza pin huko China[emoji625] ya Mia Mbili ifikie hapo Nyamagana, unless otherwise kuna mtu anajuana nae pale posta...

Nina miaka nawatumia hao Nyamagana mpaka kuna wakati najuta ila basi kuna wakati nakua sina namna mzigo wangu lazima upitie kwao tu kwa sababu maalumu!

Juzi kati tuli agiza nje diodes, capacitors na components nyingine ndogo ndogo zinauzwa bei ya nyanya huko kwa ajili ya kutengenezea vifaa vya ofisini make TZ tulizikosa maduka ya electronics aisee tulijuta tulipoenda posta tukawakumbuka SpeedAF shida shipping method ilkua haisupport kutuma kwa SpeedAF.
 
Back
Top Bottom