Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Waajiri wengi huwa wanapenda barua za maombi ziandikwe kwa mkono.

Ila kuna wanaoprint na haileti tatizo unless kama umekuwa guided ku-submit a handwritten application letter.
 
Waajiri wengi huwa wanapenda barua za maombi ziandikwe kwa mkono.

Ila kuna wanaoprint na haileti tatizo unless kama umekuwa guided ku-submit a handwritten application letter.
Well said bro! Sasa Naanza kuelewa kidog kweny barua za mkono. Asante
 
Njia zote hutumika, lakin barua ya mkono hutumika zaid kama maombi yanatumwa kwa njia ya posta ama unapeleka fizikali, barua ya mkono huangalia zaid unadhifu wako na mwandiki wako uko vipi.

Unaweza kuwa una mwandiko mzuri lakin hauko nadhifu

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kikubwa ni connection tu....hizo barua huwa zinatiwa kwenye faili Wala hakuna wa kupoteza muda wake kuzisoma..so, Kama una connection hata uandike barua kwa miguu utapata kazi chapu kwa haraka.
 
Kikubwa ni connection tu....hizo barua huwa zinatiwa kwenye faili Wala hakuna wa kupoteza muda wake kuzisoma..so, Kama una connection hata uandike barua kwa miguu utapata kazi chapu kwa haraka.
Connection ndio kila kitu kama pesa vile, mwezi wa 1 nilipeleka barua yangu ya kujitolea shirika flan hv la serikali (barua ilkuwa typing) ila mpaka leo sina feedback ila kuna mshikaji nimesoma nae yeye alipelekwa ili apate kujitolea na akapata nafasi, sina wivu kuwa amepata halafu mm nmekosa ila roho inaniuma sana kukosa connection
 
Acha tu mkuu... connection is very powerful these days.
 
Habarini za leo?napata changamoto katika Application..... nimejaza taarifa lakn inakuja "no data found"

msaada plz
 
Apo shida niwew Sasa huenda email unayoingiza sio sahihi ndo Mana wanakupa huo ujumbe
Aise mbona nimejaribu inaniletea huu ujumbe, kureset password bado ashindwa mwenye solution ya hii issue msaada plz!
 
Msaada hapa wakuu .natokaje kwenye hii changamoto?

"Necta candidates particulars does not match "
 
Sema huu mfumo dah changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…