manollonollo
Member
- Jun 18, 2015
- 6
- 0
Msaada wadau kila ninapo change passward inakuja ivi na nimesahau pasward
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Mbinu iligomaAendee kwenye viambatanisho aondoe ile barua, then arud kwenye uchaguzi wa shule kisha aanze na barua then amalizie kuchagua shule akimaliza hapo anarefresh page
Kazi inakuwa imeisha
S18665-6764Habari gani ndugu zangu, poleni kwa majukumu ya siku. Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. kuna hizi ajira za TAMISEMI zilizotangazwa hapa juzi kati tarehe 09/05/2021, watu wanaomba kujaribu bahati yao.
Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kuomba, sikuwahi kujua kuwa kuna mfumo wa ajira tamisemi, nilipoziona hizi ajira nikajisemea moyoni nitatuma wiki hii hard copies lakini leo hii baada ya kuingia JF nimeona kuna ishu ya kujisajili kwenye mfumo.
Nimejaribu kujisajili lakini mfumo unaikataa namba yangu ya mtihani naambiwa namba ya mtihani sio sahihi. Swali langu kwa waliofanya usajili hasahasa wale Kada ya Afya naomba mniambie format ya namba ya kituo au namba ya mtihani inapaswa iweje ?? Natanguliza shukrani na samahani kwa uandishi wangu.
Niliweka namba ya mtihani kwa format ya S3503.0023.2001(Mfano tu), mfumo Unasema namba haipo na wakati nina cheti na matokeo yangu yapo kwenye mfumo hadi leo
Ahsante, it workedS18665-6764
Ingia walipoandika KULINGANISHA TAARIFA NA NECTA ukiingia hapo watakwambia ingiza namba yako a mtihani na mwaka Wa mtihani ...ukifanya hivyo jina litabadilika na kuandika kama lilivyo kwenye cheti....Fanya hivyo ukishindwa nijuze. Nitakutumia namba inboxWakuu hope mko poa.
Mwaka Jana , niliomba ajira za ualimu lakini nilikosa.
Ule mfumo ulitaka applicant kuweka majina matatu wakati Mimi natumia mawili kwenye vyeti vyangu vyote.
Basi kwakuwa system ya zaman ukiruka ata step moja ilikuwa inazngua kukamilisha application, so niliamua jina la Kati nitumie la namba ya nida.
Sasa this year naskia kwa wanaojisairi upya system inaruhusu ATA majina mawili, nimeajalibu kubadilisha lakini wapi yaan kwenye tarifa binafsi, jina la kwanza, la Kati, na la mwisho pamoja na kipengere Cha jinsia hawakubali kubadilisha,
Nifanyeje maana profile yangu Ni majina matatu uku vyeti vyote Ni majina mawili.
Msaada plz
Kumbe..... shukranIngia walipoandika KULINGANISHA TAARIFA NA NECTA ukiingia hapo watakwambia ingiza namba yako a mtihani na mwaka Wa mtihani ...ukifanya hivyo jina litabadilika na kuandika kama lilivyo kwenye cheti....Fanya hivyo ukishindwa nijuze. Nitakutumia namba inbox
Sent from my P35 Pro using JamiiForums mobile app
Mkuu hii kitu nimeuliza toka juzi baada ya mimi kuulizwa na dogo mmoja ambaye amepagawa analia tu kachanganyikiwa masikini😂😂Ingia walipoandika KULINGANISHA TAARIFA NA NECTA ukiingia hapo watakwambia ingiza namba yako a mtihani na mwaka Wa mtihani ...ukifanya hivyo jina litabadilika na kuandika kama lilivyo kwenye cheti....Fanya hivyo ukishindwa nijuze. Nitakutumia namba inbox
Sent from my P35 Pro using JamiiForums mobile app
Hii inahusiana na case yangu ya kuondoa jina la katiMkuu hii kitu nimeuliza toka juzi baada ya mimi kuulizwa na dogo mmoja ambaye amepagawa analia tu kachanganyikiwa masikini[emoji23][emoji23]
View attachment 1782844
Kwa kutumia PC na Simu kote uchaguzi wa masomo ya kufundisha hauonekani. Na hii ni baada ya kutumia akaunti iliyokuwepo toka mwaka jana akakuta ina uchaguzi somo moja akafuta ili aongeze masomo matokeo yake yote yamepotea[emoji23][emoji23]
Akifungua account mpya na kujaza upya???Mkuu hii kitu nimeuliza toka juzi baada ya mimi kuulizwa na dogo mmoja ambaye amepagawa analia tu kachanganyikiwa masikini[emoji23][emoji23]
View attachment 1782844
Kwa kutumia PC na Simu kote uchaguzi wa masomo ya kufundisha hauonekani. Na hii ni baada ya kutumia akaunti iliyokuwepo toka mwaka jana akakuta ina uchaguzi somo moja akafuta ili aongeze masomo matokeo yake yote yamepotea[emoji23][emoji23]
Ukiingia hapo haileti madhara? Nsije haribu application upyaaaIngia walipoandika KULINGANISHA TAARIFA NA NECTA ukiingia hapo watakwambia ingiza namba yako a mtihani na mwaka Wa mtihani ...ukifanya hivyo jina litabadilika na kuandika kama lilivyo kwenye cheti....Fanya hivyo ukishindwa nijuze. Nitakutumia namba inbox
Sent from my P35 Pro using JamiiForums mobile app