Changamoto ya OTEAS: Kwenye machaguo ya shule tuna attach barua gani? Baadhi ya haifungui TAMISEMI

Jaman naomba msaada mi kila nikijaribu kulogin kwa user name nilotumia mwaka jana na password inaniambia bad credential,,nimejaribu kuchange password pia imeshindikana,kufungua ac mpya nayo imeshindikana naom anaefah jonsi ya kutatua hili tatizo anisaidie
Screenshot_20210510-090901.jpg
 
Ukiingia hapo haileti madhara? Nsije haribu application upyaaa
Haileti madhara yoyote cha msingi kama cheti chako kina majina mawili. BASI WEKA HAYO MAWILI TU. ILA HILO JINA LA PILI NDIO ULIWEKE SEHEMU YA JINA LA 3 , KISHA SEHEMU YA JINA LA 2 UNARUKA YAANI USIJAZE JINA LOLOTE. MFANO KAMA JINA LAKO NI MRISHO JAKAYA KIKWETE. lakini cheti chako kina jina la kwanza MRISHO na jina la lipi JAKAYA ( yaani MRISHO JAKAYA) basi kwenye kujaza ilo jina la jakaya ndio lina simama kama jina la mwisho (ukoo) kwahiyo utaweka jina la 1, jina la pili utaacha nafasi bila kujaza kitu, kisha jina la 3 ndio utaweka jina la pili lililopo kwenye cheti chako.

Sent from my P35 Pro using JamiiForums mobile app
 
Ukilazimisha kuweka jina la 1 na la pili sehemu ya jina la Tatu ukaacha gap inagoma. Hivyo sehem ya jina la pili ndio uache gap kisha lile jina la lipi ndio uliwe sehemu ya jina la 3.

Sent from my P35 Pro using JamiiForums mobile app
 
moja ya vitu ambavyo mimi nimeshindwa kuvilelewa ni juu ya kufungwa kwa baadhi ya accesses kwa waombaji kunakofanywa na Tamisemi

Mfano
1. Mtu anaingiza majina yaliyo katika vyeti vyake kabisa atengeneze accpont akaombe hizi ajira anaambiwa taarifa hazifanani

2. Kuna users ambao wako verified na ambao hawako verified (maana ya kuwa verified ni nini na kutokuwa verified ni nini ) hawajatoa maelekezo...pic1

3. Kuna vyuo ambavyo havina kozi ambazo wanafunzi wamezisomea- mfano wanafunzi wa chuo cha mwenge catholic university kuna faculty ya Bachelor Degree Education (Arts) mbayo ina kozi kama History/ Geography, English/Geography n.k ila hizi kozi halionekani na mfumo ulivyo ni kuwa ili ujaze kipengele kinachofuatia ni lazima umalize kujaza kipengele kinaanza kwanza.

Hivyo kutoonekana kwa masomo ya facult ya Bachelor Degree Education (Arts) kunafanya muombaji ashindwe kujaza masomo na akishindwa kujaza masomo manake atashindwa kujaza shule akishindwa na shule basi hana chake full stop.....picha namba 2

picha 2.jpg

picha Na 1.jpg
 
watafute huduma kwa wateja wapigie cm or tamisemi.waeleze
 
TAMISEMI bhana , sasa mtu umeambatanisha vyet had transcript, na pia umespecify kwenye barua masomo uliyosoma. Hilo suala la kuchagua masomo ni usumbufu tu.
 
moja ya vitu ambavyo mimi nimeshindwa kuvilelewa ni juu ya kufungwa kwa baadhi ya accesses kwa waombaji kunakofanywa na Tamisemi

mfano
1. mtu anaingiza majina yaliyo katika vyeti vyake kabisa atengeneze accpont akaombe hizi ajira anaambiwa taarifa hazifanani
2. kuna users ambao wako verified na ambao hawako verified (maana ya kuwa verified ni nini na kutokuwa verified ni nini ) hawajatoa maelekezo...pic1
3. kuna vyuo ambavyo havina kozi ambazo wanafunzi wamezisomea- mfano wanafunzi wa chuo cha mwenge catholic university kuna faculty ya Bachelor Degree Education (Arts) mbayo ina kozi kama history/ geography. english/geography n.k ila hizi kozi halionekani na mfumo ulivyo ni kuwa ili ujaze kipengele kinachofuatia ni lazima umalize kujaza kipengele kinaanza kwanza. hivyo kutoonekana kwa masomo ya facult ya Bachelor Degree Education (Arts) kunafanya muombaji ashindwe kujaza masomo na akishindwa kujaza masomo manake atashindwa kujaza shule akishindwa na shule basi hana chake full stop.....picha namba 2

View attachment 1783292

View attachment 1783296
hizi ajira ni kwa walimu wa physics, chemistry, biology na maths....... kwaio comb yoyote isiyo na hayo masomo huwezi ikuta, wameiblock automatically ili msipate usumbufu wa kuapply.........
 
Za mda huu wakuu,

Jaman nimejaribu kufuta shule za mwanzo nilizoomba nikaweka shule mpya kwa bahati mbaya zimekuja zote na nikitaka kufuta zinagoma.

Option ya kufuta ipo na nikifuta notification inakuja kuwa nimefuta lakin nikirefresh bado shule zote zinakuja, jumla machaguo 9 ambayo ni zaid ya limit ambayo ni 5.
 
moja ya vitu ambavyo mimi nimeshindwa kuvilelewa ni juu ya kufungwa kwa baadhi ya accesses kwa waombaji kunakofanywa na Tamisemi

Mfano
1. Mtu anaingiza majina yaliyo katika vyeti vyake kabisa atengeneze accpont akaombe hizi ajira anaambiwa taarifa hazifanani

2. Kuna users ambao wako verified na ambao hawako verified (maana ya kuwa verified ni nini na kutokuwa verified ni nini ) hawajatoa maelekezo...pic1

3. Kuna vyuo ambavyo havina kozi ambazo wanafunzi wamezisomea- mfano wanafunzi wa chuo cha mwenge catholic university kuna faculty ya Bachelor Degree Education (Arts) mbayo ina kozi kama History/ Geography, English/Geography n.k ila hizi kozi halionekani na mfumo ulivyo ni kuwa ili ujaze kipengele kinachofuatia ni lazima umalize kujaza kipengele kinaanza kwanza.

Hivyo kutoonekana kwa masomo ya facult ya Bachelor Degree Education (Arts) kunafanya muombaji ashindwe kujaza masomo na akishindwa kujaza masomo manake atashindwa kujaza shule akishindwa na shule basi hana chake full stop.....picha namba 2

View attachment 1783292

View attachment 1783296
Pole sana mdogo wangu
 
Naombeni msaada nimesahau password na kila nikijarbu inakataa mwenye changamoto kama hii ametumia njia gan ku solve msaada wandugu
 
Za mda huu wakuu,

Jaman nimejaribu kufuta shule za mwanzo nilizoomba nikaweka shule mpya kwa bahati mbaya zimekuja zote na nikitaka kufuta zinagoma.

Option ya kufuta ipo na nikifuta notification inakuja kuwa nimefuta lakin nikirefresh bado shule zote zinakuja, jumla machaguo 9 ambayo ni zaid ya limit ambayo ni 5.
Zinafutika bhana, nenda pale kwenye option ya ONDOA utoe ambazo huzitaki ubakishe tano
 
Za mda huu wakuu,

Jaman nimejaribu kufuta shule za mwanzo nilizoomba nikaweka shule mpya kwa bahati mbaya zimekuja zote na nikitaka kufuta zinagoma.

Option ya kufuta ipo na nikifuta notification inakuja kuwa nimefuta lakin nikirefresh bado shule zote zinakuja, jumla machaguo 9 ambayo ni zaid ya limit ambayo ni 5.
Tatizo kama langu, mimi nimebadili leo shule moja ajabu machagua nakuta yanakuwa sita baada ya kusave ni pamoja na lile nililolifuta
 
Back
Top Bottom