Changamoto ya ulevi: Jinsi inavyoumiza familia na jamii

Uliwezaje kuacha vitu hivyo kwa mara moja? Na wakati kiu(arosto) ikikushika ulikuwa unatumia nn ili kutuliza kiu yako?
 
Njia itakayotumika kubomoa mwili, njia hiyo hiyo itumike kwenye kuujenga..
 
Mpumbavu habadiliki kamwe hata akipewa funzo,ila mjinga hukubali na kubadilika pale anapopewa funzo.
Sasa wewe ndugu chagua mawili kati ya hayo.
Vp mbona unapaniki, mpumbavu mara mjinga.

Binafsi, nilikua nakunywa pombe nikaacha, ila huwezi kunikuta naipondea pombe au wanywaji.

Ulipo kama ni sahihi, basi enjoy sio kuponda wanywa pombe,..kwan ndio kitu kibaya zaidi kwenye maisha?

Utarikava na majuto, usijali.
 
Kila mtu akichangia, anajibiwa kwa jaziba..

Yeye aache watu waendelee kunywa, afanye anachoona ni sahihu, kwani anaumia nn wadau wakipiga vyombo?
 
mi ninaimani katika dunia hii kila kitu watakachoniambia kina madhara nitakiacha mmqe nilikuwa mbishi kwenye chaputa 😂 narudia chochote nitakachoambiwa kina madhara nitakiacha mara moja
 
walevi hovyo sana wanajazana ujinga bar mimi hupenda kwenda bar kupata mchemsho au juice huku nacheki mpira ukiwasikiliza mipango yao ya pesa wakiwa wamelewa na asubui wanavyo kwepana utacheka sana
Hili nakubaliana nalo kwa 100%. Pombe ina faraja za kijinga sana, pombe inaweza kukufanya kukifikiria kitu kigumu kikawa kirahisi, sasa kutana na hiko kitu akili ya pombe ikiwa imeshakutoka ndipo ujinga wa pombe hujidhihirisha wazi.
Wengi tunatamani kuacha, lakini uraibu na kampani hutuangusha na kujikuta tukienda kinyume na matakwa yetu baada ya muda fulani.
Pombe hukaribisha umasikini,walevi tunaelewa hili yet hatuaachi🤣🤣
 
Sasa wewe asubuhi unaamkia pombe wenzako wanaamkia kumpa kaisari fungu lake,

Au kunywa mwishowe unafanya mauzauza,
au kunywa tu bila kufanya mambo mengine,
no regard for your Lord's deeds your Holy book says...

Kama pombe inakuletea matatizo kwako na kwa walioluzunguka iwe physically, mentally, emotionally, economically, legally, socially....achana nayo.

Dada yangu aliolewa huko bwana kwenye harusi tukanywa soda tu, wageni waalikwa tunaangaliana tu kwani ni msiba? Harusi ilivyoisha tukanunua kreti tukaenda nazo nyumbani sherehe ikaanza rasmi ,😂
 
Uliwezaje kuacha vitu hivyo kwa mara moja? Na wakati kiu(arosto) ikikushika ulikuwa unatumia nn ili kutuliza kiu yako?
Mungu brother ndiye aliyeniokoa kwenye hilo janga,sitarudi tena huko maana ni gizani na majuto yake ni makubwa mno,ona watu humu wanavyo shupaza shingo kutetea,Mungu alishatuoanya katika neno lake katika mstari fulani wa kitabu cha nabii Isaya kua mkitii mtakula mema ya nchi bali mkikataa mtakufa kwa upanga.
 
Kama pombe ni nzuri kwanini haipo katika nutritional guide jibu haraka hapa.
 
Achana na mim SHOGA WEW
Unabisha kua huku bwatuka? Eeh? sasa nilikuuliza swali la msingi cha kuhuzunisha na kuonyesha kiasi gani ubongo wako umeoza unakuja na matusi.Nilikuuliza pombe ni nzuri au la?Jibu haraka
 
Kuacha inawezekana na ni rahisi mno kama ukiamua kunia mamoja na kumwogopa Mungu.Mbona mimi nimeacha vyote kirahisi tu na nafurahia maisha zaidi ya hapo mwanzo, mimi bangi nimevuta hadi kuotesha na kuvuna for myself use only sio kuuza nimeitumia for almost 6 years,beer,gin na wisky kwa miaka 3, vyote nimeviacha kirahisi tu na sasa niko huru.
 
Hongera kama umeacha, lakini neno la Mungu linapinga vibaya ulevi na pia ni kitu kisichofaa kwa jamii ndio mana tunapowalea watoto hatuwafundishi kunywa pombe,sigara au bangi.Ukweli lazima usemwe na uongo lazima uanikwe wazi na upingwe kwa nguvu zote.
 
Njia itakayotumika kubomoa mwili, njia hiyo hiyo itumike kwenye kuujenga..
Ati nini?Wewe ndugu hivi unajitambua kweli?Unajua unachokiongea? Yaani pombe au bangi kama ilivyotumika kubomoa mwili ndio itumike kama tiba?Wewe ni mjinga kabisa.
 
Unabisha kua huku bwatuka? Eeh? sasa nilikuuliza swali la msingi cha kuhuzunisha na kuonyesha kiasi gani ubongo wako umeoza unakuja na matusi.Nilikuuliza pombe ni nzuri au la?Jibu haraka
Ni mzuri na mbaya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…