uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Nawasalimu,
Twende kwenye mada.
Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back.
Amebakisha 1 year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi.
Imekuwa changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya.
Kwasababu ya cheo alichonacho kumshauri inakuwa ngumu sana,
Hivi wakuu huwa ni kawaida Watarajiwa wastaafu kuwa na hizi tabia?
Kazi zinakuwa ngumu kidogo.
Hebu share uzoefu wako