Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
PumbaKaa kimya chota uzoefu. Au jiuwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbaKaa kimya chota uzoefu. Au jiuwe.
Kwetu ilikuwa unapewa likizo ya hiari ya mwaka mzima ukajiandae, cha ajabu wengine walikuwa wakiikataa hiyo likizo na kubakia maofisini hadi siku ya mwisho na baadaye utaratibu huo ulifutwa!Zamani ulikua ukikaribia kustaafu unatolewa kwenye changamoto unarejeshwa ukasome magazeti makao
Kisaikolojia ndio inaumiza zaidi.Kwetu ilikuwa unapewa likizo ya hiari ya mwaka mzima ukajiandae, cha ajabu wengine walikuwa wakiikataa hiyo likizo na kubakia maofisini hadi siku ya mwisho na baadaye utaratibu huo ulifutwa!
Mwaka si lolote si chochote, kwa maandalizi kama ulikuwa haujajiandaa, ni sawa na kunenepesha ng'ombe siku ya mnada!
Na maandalizi si kwa makazi na vitega uchumi tu, kujiandaa kuna maana pana sana zaidi.
Maana unatakiwa kujiandaa pia kisaikolojia, hasa kwa waliokuwa na wadhifa mkubwa ama madaraka manono.
Ukishastaafu kama ulizoea kutumiza, sasa utafanya mwenyewe, kama ulipenda kufokea staff, sasa fokea familia yako ili wakutenge.
Kama ulizoea kuletewa sasa utafuata mwenyewe, nk nk!
Wasichokijua watu, wadhifa wowote wa kiofisi ni dhamana ambayo ukishatoka, wewe unakuwa ni binadamu wa kawaida, ni sawa na kuku wanapochinjwa na nyonyolewa manyoya hauwezi kuwatofautisha.
Pia wastaafu wote wapo grupu moja, hakuna mstaafu boss.
Nawe utastaafu ujue hiloNawasalimu,
Twende kwenye mada.
Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back.
Amebakisha 1year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi.
Imekua changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya.
Kwasababu ya cheo alichonacho kumshauri inakuwa ngumu sana,
Hivi wakuu huwa ni kawaida Watarajiwa wastaafu kuwa na hizi tabia?
Kazi zinakuwa ngumu kidogo.
Hebu share uzoefu wako
Mkuu rudi kusoma post yangu. Nimesema hivi kama mtu una mshahara mzuri hakikisha unaweka akiba kubwa pia. Hao uliowataja wapo wako wanaopata pesa nzuri pia. Tatizo liko hivi wako wenye monthly income nzuri Ila wao pesa yao ni tupatupa. Wako hao uliowataja wana nidhamu ya matumizi na maendeleo Yao ni super kabisa. Tatizo watu hatujibidishi na vipato vya ziada tunategekea mshahara. Hii ni hatari mno. Kipato kidogo lakini IPO mikopo tena ya Sacco's maeneo ya kazi hizo ndiyo za kufanya biashara za ziada. Hivyo tusisingizie mishahara midogo katika kujiandaa kustaafu. By the way unatakiwa uanze kujiandaa kustaafu toka siku ya Kwanza unaajiriwa. Hiyo ndiyo principle.wewe unaongelea 500m unafanya kazi gani.Walimu,askari magereza,polisi? usilinganishe uwezo wako na kipato chako na wengine ukiona mtu ana hiyo fixed kabla ya mafao ujue kuwa alikuwa anafanya kazi ya mshahara mkubwa mno zaidi ya yote alikuwa fisadi wa kutupa.
Well said. BravoKwetu ilikuwa unapewa likizo ya hiari ya mwaka mzima ukajiandae, cha ajabu wengine walikuwa wakiikataa hiyo likizo na kubakia maofisini hadi siku ya mwisho na baadaye utaratibu huo ulifutwa!
Mwaka si lolote si chochote, kwa maandalizi kama ulikuwa haujajiandaa, ni sawa na kunenepesha ng'ombe siku ya mnada!
Na maandalizi si kwa makazi na vitega uchumi tu, kujiandaa kuna maana pana sana zaidi.
Maana unatakiwa kujiandaa pia kisaikolojia, hasa kwa waliokuwa na wadhifa mkubwa ama madaraka manono.
Ukishastaafu kama ulizoea kutumiza, sasa utafanya mwenyewe, kama ulipenda kufokea staff, sasa fokea familia yako ili wakutenge.
Kama ulizoea kuletewa sasa utafuata mwenyewe, nk nk!
Wasichokijua watu, wadhifa wowote wa kiofisi ni dhamana ambayo ukishatoka, wewe unakuwa ni binadamu wa kawaida, ni sawa na kuku wanapochinjwa na nyonyolewa manyoya hauwezi kuwatofautisha.
Pia wastaafu wote wapo grupu moja, hakuna mstaafu boss.
Hakunabcha chawa wala nn mawazo ya utaishije bila kazi sio mchezo omba mungu yasikukute na ukute bado watoto wanakutegemea ukiwaza kikokotoo kipya hichi yaani pension yako miaka yote uliyojituma unapewa million 20 lazima upagawe..Mara nyingi mtu akikaribia kustaafu anakuwa na mawazo mengi sana. Pia chawa wanampa stress maana kila mmoja anampangia namna ya kutumia mafao yake. Mvumilie
Hamuoni chenge bado yuko kwenye kamati za bunge mpaka mda huuTunakusubiri wewe utakuwa wa mfano miaka haigandi tutakuona.Mimi shawahi ona ofisa mkubwa sana wa serikali mtaani anakunywa gongo.
Chief sio watu wote wamejaaliwa kuwa na vipaji vya biashara wengine washafanya maamuzi coz wanapenda kazi wanazofanya na wapo tayari kuzifanya mpaka muda wa kustaafu.Kikawaida kama umeajiriwa ukiwa na 25yrs hutakiwi kukaa kwenye Ajira Hadi miaka 55,.
Fanya kazi 20 years then toka kajisimamie mwenyewe kwenye shuguli ambazo utakua umeziandaa ,
Kukaa mpak 55/60y kama sio makusudi ya Mungu ni uzembe furani akilini,
Ni Kweli chief , Kuna sehem nimeandika kama sio mpango wa Mungu ni uzembe,Chief sio watu wote wamejaaliwa kuwa na vipaji vya biashara wengine washafanya maamuzi coz wanapenda kazi wanazofanya na wapo tayari kuzifanya mpaka muda wa kustaafu.
Hapo Kwenye uwekezaji hapoMwamba ana nyumba nzuri tu, kwenye uwekezaji sijui kwa kweli.
Usiwe una comment KituKaa kimya chota uzoefu. Au jiuwe.
mmmhMwamba ana nyumba nzuri tu, kwenye uwekezaji sijui kwa kweli.
Au ukiona masharti ya kazi ya kudumu unadhani wewe hutastaafu.1Ndio.
Tutastaafu tu!!Au ukiona masharti ya kazi ya kudumu unadhani wewe hutastaafu.1
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app