Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Stress za kutojiandaa zinamsumbua... huwa kama wameingiwa roho ya mauti.Nawasalimu,
Twende kwenye mada.
Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back.
Amebakisha 1year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi.
Imekua changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya.
Kwasababu ya cheo alichonacho kumshauri inakuwa ngumu sana,
Hivi wakuu huwa ni kawaida Watarajiwa wastaafu kuwa na hizi tabia?
Kazi zinakuwa ngumu kidogo.
Hebu share uzoefu wako