uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
- Thread starter
- #61
Kiukweli huyu mwamba alikuwa ananishirikisha mambo yake hapo nyuma, na nilishamshauri as kuna demu mmoja alishaanza kumganda.Ushaligundua Hilo now lifanye iwe your personal mission Mzee wa watu astaafu Salama baraka zake utazipata badae.
Nikamwambia inawezekana ameshapata details zake kuhusu muda aliobakiza, atampiga pabaya.
Na hivyo siku hizi hawa mabinti wanaloga sana.
Hilo alinielewa.
But from January 2023. Dingi anakuwa mbogo.