Si mchezo mkuu.Mara nyingi mtu akikaribia kustaafu anakuwa na mawazo mengi sana. Pia chawa wanampa stress maana kila mmoja anampangia namna ya kutumia mafao yake. Mvumilie
Vipi maendeleo yake Kwa ujumla labda uwekezaji?Si mchezo mkuu.
Anaogopa sana, yani vitu vidogo ana mind balaa.
Kuna zile warsha za wanaotarajia kustaafu, hizo ndio hataki kusikia kabisa.
Mungu amsaidie kwa kweli.
Lakini pia kusubiria kustaafu na 60yrs, inafanya mtu anazoofu zaidi.Wengi huogopa kualibu pension yake.maana hapo kwa akifukuzwa kazi hapati.
Kuna tabu za uzeeni kawaida mimi nafanya kazi na wazee wanakaribia kustaafu na mmoja tulimuaga mwaka Jana mwanzoni.Mwamba ana nyumba nzuri tu, kwenye uwekezaji sijui kwa kweli.
Kaa kimya chota uzoefu. Au jiuwe.Nawasalimu,
Twende kwenye mada.
Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back.
Amebakisha 1year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi.
Imekua changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya.
Kwasababu ya cheo alichonacho kumshauri inakuwa ngumu sana,
Hivi wakuu huwa ni kawaida Watarajiwa wastaafu kuwa na hizi tabia?
Kazi zinakuwa ngumu kidogo.
Hebu share uzoefu wako
Na wewe unakaribia? Mbona vitisho?Kaa kimya chota uzoefu. Au jiuwe.
Sijawahi kuajiriwa Tanzania. Naajiri tu.Na wewe unakaribia? Mbona vitisho?
UmepanikKaa kimya chota uzoefu. Au jiuwe.
Wewe unajiandikia neno ambalo hata maana yake hujuwi.Umepanik
Umri ni namba tu bibi mbona umekuwa mkali sana!Sijawahi kuajiriwa Tanzania. Naajiri tu.
Nipe maujuzi kuhusu hilo nenoWewe unajiandikia neno ambalo hata maana yake hujuwi.
Pilipili iko shamba yakuwashiani?Umri ni namba tu bibi mbona umekuwa mkali sana!
Kitowe.Nipe maujuz kuhusu hilo neno
"Kitowe" ndio ninKitowe.