Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

Ushaligundua Hilo now lifanye iwe your personal mission Mzee wa watu astaafu Salama baraka zake utazipata badae.
Kiukweli huyu mwamba alikuwa ananishirikisha mambo yake hapo nyuma, na nilishamshauri as kuna demu mmoja alishaanza kumganda.

Nikamwambia inawezekana ameshapata details zake kuhusu muda aliobakiza, atampiga pabaya.

Na hivyo siku hizi hawa mabinti wanaloga sana.
Hilo alinielewa.
But from January 2023. Dingi anakuwa mbogo.
 
Hivi mkuu, Serikali kuna namna inafanya hawa watu wanaostaafu wafe mapema.

Hili jambo nilakufanyia uchunguzi kwa kweli.
 
Si mchezo.
 
Stress za kutojiandaa zinamsumbua... huwa kama wameingiwa roho ya mauti.
Kabisa, kuna wakati mwamba anakasirika hadi midomo ina vibrate akiwa anaongea, kitu ambacho hakikuwepo.
 
Hivi mkuu, Serikali kuna namna inafanya hawa watu wanaostaafu wafe mapema.

Hili jambo nilakufanyia uchunguzi kwa kweli.
Sema huwa inawaombea wafe mapema baada tu ya kustaafu. Na ushahidi ni huu utaratibu wao wa sasa wa kuwataka wastaafu kwenda ku update taarifa zao kwenye mifuko ya hifadhi za jamii kila baada ya miezi kadhaa.

Na ikitokea mstaafu hujaenda (kitokana na sababu za kiafya, nk), na mafao yako ya kila mwezi nayo yanasitishwa mara moja, huku wakiamini tayari uneshaondoka duniani.
 
Ni balaa sana.
 
Mzee wangu ilikua TOFAUT kidogo Kwa Sasa ana miaka kumi tangia amestaafu....

Kipindi anakaribia kustaafu ofsn kwake yeye ndie alikua mkuu wa kitengo Sasa kutokana na kuajiriwa Kwa new engineer wengi aliombwa awe anapewa contract ya 2years Kwa ajili ya kuwapa uzoefu new engineer...........

Baba alikataa akasema yeye anastaafu...mama mzazi alimlazimisha aendelee na kazi Kwa mkataba mzee alikataa hata sisi watoto alitukatalia....

Issue ya kustaafu ni maandizi mzee anastaafu watoto karibu wote wameshamaliza shule na vyuo vikuu na sio wategemezi ameshajengea Kila mtoto nyumba so pension anayo chukua ni ya kula yeye na mkewe tena ana miradi yake & vice versa is true 😌🙂
 
Tuendelee kujifunza.
Kuajiriwa nako ni changamoto sana kwa kweli.
 
Mala nyingi wazee wanapokalibia mwisho WA kazi yake huwa na mawazo meng sana sababu Kuna baadhi ya mipango Yao haikukamilika, na hata baada ya kuopewa pensheni Yao wataifanyia Nini sababu akipewa pensheni anaingia kwenye tasinia ya biashala, pia mala nyingi mtu huyo anakuwa na maswali mengi kichwani ni biashala gan ntafanya bila kupata hasala,, kiujumla mtu hyo anakuwa na msongo WA mawazo jikaze utakuja kumuelewa baadae
 
Hii ni kweli kabisa😂😂
 
Kikawaida kama umeajiriwa ukiwa na 25yrs hutakiwi kukaa kwenye Ajira Hadi miaka 55,.
Fanya kazi 20 years then toka kajisimamie mwenyewe kwenye shuguli ambazo utakua umeziandaa ,
Kukaa mpak 55/60y kama sio makusudi ya Mungu ni uzembe furani akilini,
 
Mwamba ana nyumba nzuri tu, kwenye uwekezaji sijui kw

wewe unaongelea 500m unafanya kazi gani.Walimu,askari magereza,polisi? usilinganishe uwezo wako na kipato chako na wengine ukiona mtu ana hiyo fixed kabla ya mafao ujue kuwa alikuwa anafanya kazi ya mshahara mkubwa mno zaidi ya yote alikuwa fisadi wa kutupa.
 
Kikawaida kama umeajiriwa ukiwa na 25yrs hutakiwi kukaa kwenye Ajira Hadi miaka 55,.
Fanya kazi 20 years then toka kajisimamie mwenyewe kwenye shuguli ambazo utakua umeziandaa ,
Kukaa mpak 55/60y kama sio makusudi ya Mungu ni uzembe furani akilini,
Tunakusubiri wewe utakuwa wa mfano miaka haigandi tutakuona.Mimi shawahi ona ofisa mkubwa sana wa serikali mtaani anakunywa gongo.
 
Wapo wanaopiga hesabu vibaya sana.Mtu akistaafu ndio anafikiria kutafuta kiwanja baada ya kupata kiwanja anaambiwa milioni15 kujenga anaanza akifika lintel hajapauwa hela imekata kibaya zaidi unakuta anamuacha mke wake wa mwanzo anaoa bi mdogo mfuata mafao.
Hela zikiisha anaanza kuwa mkali mkali maana unakuta bi mdogo ameshamzalisha naye anataka ajengewe.Hii tabia wanayo hasa maaskari wale ma trafick waliozoea kunyoosha mkono hela inaingia na watu wa mkoa flani nawahifadhi watajisikia vibaya ila ni mkoa ambao waarabu walipita anga hizo wakawa affect sana kitabia wakawa wavivu sana.
Kikawaida hela ya kustaafu ikiwezekana usiifanye hela ya kujengea nyumba.
 
Tunakusubiri wewe utakuwa wa mfano miaka haigandi tutakuona.Mimi shawahi ona ofisa mkubwa sana wa serikali mtaani anakunywa gongo.
Akili zako zitanuke ziwe Pana , yaani ukiona m1 kafeli unajiona ww huwez na wengine hawawez,
Macho yako yanaona walio feli tu, nakuhurumia pole Sana,
I told you 20yr na hata hiyo ni kwa lazy man mwingine ten years to 15, huyo humkuti Tena uko kwenye Ajira , unakuta yeye amesha tengeneza Ajira nyingi kwa watu,
Anaingiza lak 3 kwa siku, hiyo ni faida ,
Wa Tz wengi Wanajua kuzaana tu, kuongeza kipato ziro ,

That's why this country must be governed dictatolly As JPM did,
and not guided by the ballot box
 
 
Mkuu ahsante sana, leo ndiyo nimefahamu namna inavyokuwa.
 
Nafikiri ukifikisha 60 ni kustaafu kwa heshima.
kustaafu kwa hiari ni ile kabla ya kufikisha 60.
"Kustaafu kwa heshima" ni neno la kisiasa, kiuhalisia ni: "kustaafu kwa lazima" unapofikisha umri wa miaka 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…