Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Ona ulivyo mpumbavu! Eti wa kutia mimba huko nje aniletee kesi! Kwa mawazo hayo nakuapia hutakuja upate mtoto wa kiume hata siku moja! Ridhika na hao watoto wa kike tafadhali! Tea ukileta jeuri hao wa kwako ndio watatiwa mimba sasa hivi!
 
Tatizo sio kwa mwanaume, kwenye siku za kupata ujauzito kwa mwanamke Kuna siku ya mtoto wa kiume na siku ya wakike....hospitalini wakienda wanapewa maelekezo
Au kufuata jinsi make wake kalenda yake inavyokwenda
Waweza kuta mbegu za watoto jinsia ya kuume za huyu baba ni dhaifu, hata wakifanya siku ya ovulation atatokea wa kike tu,
 
Kuna jamaa namfahamu yeye alifikisha madness matano bila ke. Akadhani Suluhisho ni kutoka nje nako akapiga madame mawili. Haya mambo yanaumiza moyo.
 
Mtoto wa kike ni faida
Mtoto wa kiume ni fahari

Wanawake huwa hatusahau wazazi tupo tayari kuuza utu wetu ili kusaidia home nk hii ni faida kwa mama yqke

Wanaume akishaoa, majukumu na ushawishi wa mke wengi huwa wanasahau kwao, tena kwa asilimia nyingi m huwa wanawekeza kwa mwanamke, (tumeyaona) mwanaume yeye anabeba fahari, ujivuni wa baba yake

Mi natafuta mtoto wa kike niambieni mnawapataje
 
Tatizo una subira sana.
Unamuachia siku nyingi sana tangu the 1st day of M.P, fanya timing yai KE likazikuta sperms zinalisubiri ikizingatiwa life span kwa mbegu ME ni 24 to 48 hrs.
Kuwa na watoto me kuna raha yake sana, sikuwahi tamani kabisa kuwa na watoto wa kike na nashukuru kwa uzao huu wa watoto wa kiume japo kwenye hawa twins nimechanganya jinsia.
 
Njoo inbox nikukojolee upate wa kike.
 
Matatizo ya kujitakia haya.
 
Changamoto gani wakati wengine wanatafuta hata wadawa hawapati?Mshukuru Mungu tu.Wazazi wengi ukiwauliza wapata stress nyingi kutoka watoto wa kiume kuliko watoto wa kike.Kama ni lazime uwe na mtoto wa kiume fata ushauri wa kalenda mkeo hana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…