Tatizo sio kwa mwanaume, kwenye siku za kupata ujauzito kwa mwanamke Kuna siku ya mtoto wa kiume na siku ya wakike....hospitalini wakienda wanapewa maelekezoKabisa maana mwanaume ana mbegu X na Y wakati mwanamke anayo X peke yake. Tatizo lipo kwako si kwa mkeo.
Kutopata mtoto wa kiume ni janga?!Huenda ikawa kweli Kuna namna unajisikia vibaya, sijapitiaaa janga kama hili.
Ika mzee shukuru ulichonacho, unaweza ukagonga nje na ukaambulia wa kike tena na ujaleta msala nyumbani..
Jaribuni kwenda hospital, mnaweza kupata ushauri wa kitabibu namna ya kusaka mtoto wa kiume
- umeandika kwa mtazamo wa mwaka 1970
-
Mkuu hebu fafanua hii kalenda, tupate kuelewa.
Kutopata mtoto wa kiume ni janga?!
Hakuna ombwe lolote wala kitu anachokosa, ni ujinga na ujima tu.Si watu husema kuwa wazazi wa kiume wanapenda sana watoto wa kike, japo kwangu ni tofauti kidogo...matokeo ya Tabia za mtoto wa kiume huko mbele hutokana na vitu vingi but mtoto wa kiume ni wa kiume...naelewa Sana unachohisi, huwa kuna vitu ukifikiria unahisi Tu kuna kitu nyumbani kinakosekana, yaani kuna ombwe Tu unaona nyumbani kwasababu ya kukosekana mtoto wa kiume....Maisha yalivyo hayawezi kukupa Kila kitu unachokitamani.
huyu mwamba kwanza kuna kitu hajui kuwa anayedetermine sex ya mtoto ni mwanaume, apewe kwanza hyo elimu kabla hajakurupukaUkienda kupiga huko nje ukapata wa kike tena itakuwaje?
- kitanda, na godoroUkiacha mbuzi wa kuchinja kula nyama na mbwa una mali kiasi gani za kurithisha watoto??
Unaendeleza ukoo ili iweje?Kubwa sana. Hakuna wa kuendeleza ukoo wako. Ukoo wako umeishia kwako. Mtoto wa kike hatoi jina, anatoa wa kiume. Ndio maana mkeo akijifungua wanakusubiri uje umuone mtoto na utoe jina lake wewe baba yake.
Mtoa mada inaonekana ni mangi sasa akikaa na ndugu zake kwenye vikao vya familia wanamwambiaUnaendeleza ukoo ili iweje?
Nani amekupa majukumu ya kuendeleza ukoo?
Ukoo usipoendelea kuna tatizo gani??
Acha ubinafsi wew tuletee na vijike tuje tuvichakate.Nina watoto wa kiume tu,Tena wawili,Niko proud sana juu ya uwepo wako,sijawahi tamani mtoto wa kike,japo mama yao analalamika Kila mara kuwa anataka mtoto wa kike.
Mimi maombi yangu kwa last born wetu awe wa kiume,yaaani utatu mtakatifu wa kiume
Anazo mali za kurithisha hao watoto??Lomba babu mpaka upate dume..... mtt wa kike anafika chuo anakuambia nina mchumba nataka kuolewa...
Mwanaume ndo anaendeleza ukoo, na mrithi wako wa mali, mlinzi na mwangalizi wa boma !!!!!!!! Hawa wa kike hawaeleweki kabisa
Mzee mbona unajitahidi kuniletea shobo. Mimi nimeamua sasa we Kipenzi cha Samia kinacho kuuma nini?Anazo mali za kurithisha hao watoto??
Nyumba ya kupanga nalo ni boma la kuhitaji mwangalizi??
Kwamba ulikuwa na wa kiume ukawa unatafuta wa Kike na huko utapata wa KIUME tena?Hiyo mbinu ya kutoka nje ya ndoa kumsaka mtoto wa kiume ilinigharimu mno kwani ilinivurugia maisha lengo halikutimia na halijatimia hadi sasa kwani niliambulia wavulana tu kwa wanawake tofauti watano.
Ni shida kwa kweli pale wavulana wangu hawa wanakosa dada.