Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] Jamaa ulituvimbia hapa ety uko pekee yako na screenshot ukaficha shule [emoji23][emoji23] na nikakuambia subiri ifike deadline ndo useme uko pekee yako, haya sasa umejua hujui [emoji16][emoji16]
Mpendwa haki itakuwepo mbinguni tu hapa Duniani usitegemee kupata haki ya namna hiyo. Ajira zotee unazoziona hazikosi michongo.Hivi kwa Tamisemi wanavyopiga mkwara Kuna connection kweli
Hata mimi hivyo2.View attachment 2202927wakuu nikitaka kuangalia cheti inaonyesha hivyo shida nini
Wewe Mkuu Mungu akulipe sawa na wema wako,unasaidia sana huku..Kiufupi huu uzi unauchangamsha sana.muda mwingine huwa inakataa haswa kwenye simu ila kama unao uhakika kuwa uliweka kitu sahihi punuguza presha
Wewe umeula, ebu shule gani hizo tuoneHahahaha dah Mkuu Mimi kwa physics day 1 kwenye machaguo ya shule ilikua hivi 1,1,1,1,1 sasahivi nikiangalia machaguo ya shule ni 5,2,2,2,5
inawezekana ndioIkishafikia hii hatua mfano labda Kuna sehemu unataka kuedit je inawezekana??
kwa computer ndio rahisi....
utabonyeza hapo kama picha inavyoonyesha...
View attachment 2203239
ukishabonyeza hapo itafunguka....kama kiambata kitakavyoonyesha hapo chini...kisha utabonyeza hiyo alama iliyozungushiwa duaraView attachment 2203243
utabadilisha taarifa zako kama unavyo taka kisha unasave...View attachment 2203246
au....unaingia
kwa kubonyeza kama picha inavyoonyeshaView attachment 2203249
harafu unaondoa hiyo taarifa kwa kubonyeza sehemu ya ondoa...baada ya hapo unaweka taarifa zako upyaView attachment 2203252
ukishindwa niambie haraka iwezekanavyo...ila usisahau kuwa hayo yote yanawezekana kwa urahisi ukitumia computer...kwenye simu sina uhakika
Kwenye afya nimekwama kujaza kozi ya bachelor of social work,nifanyajeinawezekana ndio
nashukuru maisha mafupi haya rafiki yangu ifike kipindi mtandao tuutumie vizuri kusaidiana...Wewe Mkuu Mungu akulipe sawa na wema wako,unasaidia sana huku..Kiufupi huu uzi unauchangamsha sana.
chagua kozi yoyote harafu mwaka ukifunguka ingiza kisha rudi kwenye kozi ifute iyo ulioichagua kimakosa andika kozi yako kwa maneno kisha weka vyeti na transcript save...Jamani nisaidieni mbòna sioni bachelor of social work wenzangu mmefanyaje
0716719130 nipigie maelezo ni mengi natumia simu muda huu nashindwa kuyaandika...ama uvumilie umeme ukirudi...nikuelekeze step kwa stepKwenye afya nimekwama kujaza kozi ya bachelor of social work,nifanyaje
Shukrani sana0716719130 nipigie maelezo ni mengi natumia simu muda huu nashindwa kuyaandika...ama uvumilie umeme ukirudi...nikuelekeze step kwa step
Mbona kwangu hairuhusu kutype jina la chuo?Andika jina la Chuo chako pale kweny sehemu ya Elimu ya chuo kisha ukisha type jina la chuo chini inakuja course unachagua
ingiza ivyo ivyo sio jeshini hukoWAKUU NINA SWALI MOJA HIVI.
JE KWENYE VYETI KUANZIA FORM FOUR MPAKA CHUO UNATUMIA MAJINA MAWILI MFANO JUMA ISSA
NA KWENYE NIDA NI MAJINA MATATU MFANO JUMA ISSA SHABANI
VIPI KUNA UHITAJI WA KWENDA MAHAKAMANI KUAPA?
Sawa mkuuingiza ivyo ivyo sio jeshini huko
ulifanikiwa ...?Jamani nisaidieni mbòna sioni bachelor of social work wenzangu mmefanyaje
Hapana mkuuulifanikiwa ...?