Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

kwa computer ndio rahisi....
utabonyeza hapo kama picha inavyoonyesha...
View attachment 2203239


ukishabonyeza hapo itafunguka....kama kiambata kitakavyoonyesha hapo chini...kisha utabonyeza hiyo alama iliyozungushiwa duaraView attachment 2203243
utabadilisha taarifa zako kama unavyo taka kisha unasave...View attachment 2203246
au....unaingia
kwa kubonyeza kama picha inavyoonyeshaView attachment 2203249
harafu unaondoa hiyo taarifa kwa kubonyeza sehemu ya ondoa...baada ya hapo unaweka taarifa zako upyaView attachment 2203252
ukishindwa niambie haraka iwezekanavyo...ila usisahau kuwa hayo yote yanawezekana kwa urahisi ukitumia computer...kwenye simu sina uhakika

Mbona registration no yako aina ///
 
Jamani nisaidieni mbòna sioni bachelor of social work wenzangu mmefanyaje
chagua kozi yoyote harafu mwaka ukifunguka ingiza kisha rudi kwenye kozi ifute iyo ulioichagua kimakosa andika kozi yako kwa maneno kisha weka vyeti na transcript save...
 
Kwenye afya nimekwama kujaza kozi ya bachelor of social work,nifanyaje
0716719130 nipigie maelezo ni mengi natumia simu muda huu nashindwa kuyaandika...ama uvumilie umeme ukirudi...nikuelekeze step kwa step
 
WAKUU NINA SWALI MOJA HIVI.

JE KWENYE VYETI KUANZIA FORM FOUR MPAKA CHUO UNATUMIA MAJINA MAWILI MFANO JUMA ISSA
NA KWENYE NIDA NI MAJINA MATATU MFANO JUMA ISSA SHABANI

VIPI KUNA UHITAJI WA KWENDA MAHAKAMANI KUAPA?
 
WAKUU NINA SWALI MOJA HIVI.

JE KWENYE VYETI KUANZIA FORM FOUR MPAKA CHUO UNATUMIA MAJINA MAWILI MFANO JUMA ISSA
NA KWENYE NIDA NI MAJINA MATATU MFANO JUMA ISSA SHABANI

VIPI KUNA UHITAJI WA KWENDA MAHAKAMANI KUAPA?
ingiza ivyo ivyo sio jeshini huko
 
Back
Top Bottom