Mwenzako hana roho mbaya kama yako, ww unawaambia watu waonyeshe shule zao wakati ww bado unaendelea kuficha zako halafu unaleta unafiki wa ety Mungu ndiye anatoa ridhiki.We jamaa unaweka na shule zinaonekana kabisa
Mkuu unafanyaje kujua shule zenye idadi ndogo zaidi ya watu walioomba somo husika ?mkeka bado unazidi kusoma yani unaweza kutokwa na chozi hapo kila siku nilikuwa nafanya kazi ya kubadilisha shule...yani nimeziibadilisha hadi nimechoka....nimeamuachia Mungu atu afanye miujiza yake kwa kwakweli...sijui wenzangu mikeka yenu inasomaje....View attachment 2204979
Usipoteze muda wako kutafuta shule isiyokuwa na waombaji wengiMkuu unafanyaje kujua shule zenye idadi ndogo zaidi ya watu walioomba somo husika ?
Nadhani hawajaliwekaWakuu hivi General studies limewekwa kwenye mfumo?
Acheni ujinga wa kujitolea,, nafahamu vijana wengi waliojitolea na wameangukia pua, ambao walikuwa kitaa, wamepataJamani kumbe wale wa kujitolea walichukuliwa majina kimya kimya kwenye shule waliokuwa wanafundisha dah [emoji22]
Sio roho mbaya, swala data ziwe sensitiveMwenzako hana roho mbaya kama yako, ww unawaambia watu waonyeshe shule zao wakati ww bado unaendelea kuficha zako halafu unaleta unafiki wa ety Mungu ndiye anatoa ridhiki.
ACHA UNAFIKI.
Sasa mbona unataka wenzako waweke wazi.?Sio roho mbaya, swala data ziwe sensitive
Sina akili Sawa.Sasa mbona unataka wenzako waweke wazi.?
Ila ww jamaa ni Bogus ety sensitive kuomba ajira za Ualimu ndo sensitive.? Huna akili
Afadhali wewe una matumainiHali inazidi kuwa mbaya Sana. Picha ya juu ni mwonekano wa Sasa, na picha ya chini ni mwonekano wa zamani. View attachment 2205672
[emoji2302]Afadhali wewe una matumaini
Sisi wa Arts mnajikuta mmeomba 1000
sasa hapo si majanga
Nchi ngumu Sana hii acha wapewe kipaumbeleJamani kumbe wale wa kujitolea walichukuliwa majina kimya kimya kwenye shule waliokuwa wanafundisha dah [emoji22]
Rubbish spermsSina akili Sawa.
kupata au kukosa ni bahati tu...kama ipo hakuna kitakacho badilisha ukweli hata wengine wakiona...kila mtu na bahati yake...We jamaa unaweka na shule zinaonekana kabisa
Duh [emoji1787] [emoji1787][emoji2302]
Ebu tuoneAfadhali wewe una matumaini
Sisi wa Arts mnajikuta mmeomba 1000
sasa hapo si majanga
ukiomba shule ukaichagua na kuisave ndio inakuonyesha idadi ya walioomba...ila kwenye komputer...ndio zina onekana...usiahangaike kutafuta zenye idadi ndogo huto pata...chagua shule zozote kisha muombe...Mungu kwa imani yako...shule nilizo weka mimi siku ya kwanza zote zilikuwa zinasoma 1.1.1.1.1. ila hivi sasa ndio kama unavyoona...na hapo ndio nakesha kubadilisha na kubadilisha.Mkuu unafanyaje kujua shule zenye idadi ndogo zaidi ya watu walioomba somo husika ?
ndugu yangu...roho mbaya haijengi...kama ungekuwa unataka usensitive usingejiunga mitandaoni...kama unayonia ya kusaidia mtu saidia ili akushukuru walau kimya kimya...muda mrefu nimekuona upo na kaubinafsi fulani ambako sio lengo la huu uzi...huu uzi ni wa kuwasaidia wanaopata changamoto kutokana na maombi ya ajira na nina imani ata wewe kwa namna moja ama nyingine kuna mambo kupitia huu uzi umenufaika nayo je...na sisi tungekuwa na ubinafsi kama uliokuwa nao...hata huu uzi usingekuwepo...ifike mahali tutumie mtandao vizuri na kwa nia nzuri na usizani kila mwenye kuutumia huu mtandao basi ni mwenye nia ovu.Sio roho mbaya, swala data ziwe sensitive
Amina.ukiomba shule ukaichagua na kuisave ndio inakuonyesha idadi ya walioomba...ila kwenye komputer...ndio zina onekana...usiahangaike kutafuta zenye idadi ndogo huto pata...chagua shule zozote kisha muombe...Mungu kwa imani yako...shule nilizo weka mimi siku ya kwanza zote zilikuwa zinasoma 1.1.1.1.1. ila hivi sasa ndio kama unavyoona...na hapo ndio nakesha kubadilisha na kubadilisha.