Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Wanaona Kuna uwezekano wakajichanganya ukachaguliwa pande zote mbili huku wengine wakakosa fursa ya kuajiliwa.
 
May our GOD the most high grant ur wishes mkuu 🙏🏽
 
sometimes ukiwa open kwa watu hao watu hukuombea na kukuwish well….. MUNGU hutubless kupitia kwa watu

kujiombea wenyewe haitoshi the same ina apply kwa hii case

Ubinafis ain’t a good thing that man shoud change
 
JF iwe na option ya ku-remove au ku-denie watu aina hii wasicomment au kuaccess thread especially wakiwa full of hate n negativity
Nilipoti kwa moderator aniban. Option hiyo ipo pia, uzuri hata sura hatujuani unaleta makasiriko kama unachat na jini je [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamii forum raha sana afu yote haya ni kwasababu ya umasikini mshahara wenyewe wa mwalimu take home haizid hata 500000 tunakimbizana balaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]afu kwanza mm nipo Stationary nawafanyia watu tu applications Sina shida ya huto tuajira hata. Ingekuwa maombi ya watu ni sumu basi viongozi wa kisiasa wangekuwa na mabalaa kila siku lakini ona Sasa kila siku wanatembelea ma vi8 and for sure mm sijasomea ualimu wala sijawahi kuwaza mm program yangu ni political science and public administration nimehitimu udom mwaka Jana. Pambaneni madogo acheni kulialia.
 
Sawa dear ila jaribu kua na positivity ili hata hawa wanaopita humu wawe na amani wajisikie vizuri

Btw m nimesema tu si kwa ubaya

Enjoy ur journey 🙏🏽
 
nilijua tu...
 
Kuna masela wa degree za statistics and mathematics wanataka apply mnawashauri vipi wakuu?
Mimi nimeaply kwa bachelor of science in mathenatics. Wajilipue tu mzee huwezi jua.
Kuna watu kadhaa wa darasa langu walishaga pata kitambo hizi ajira za waalimu, na wengine wanasoma post graduate za ualimu now wakiwa kazini tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…