boss Sule mbona una paniki badala ya kuwapa watu darasa...? watu wamevutika/vutiwa na upambanaji wako... wana tamani kujua zaidi ili ikiwezekana waka watoe watoto shule ili wawape mitaji wapige maisha...Mkuu so unaisi kwamba nimeleta fix basi amini katika njia yako.
ni kawaida ktk ulimwengu tuliopo, hata ktk biashara zako umekutana na changamoto za kuto aminiana/kuto aminikaNi jambo la ajabu kijana kumwambia una 370M anaona kitu cha ajabu.
boss Sule mbona una paniki badala ya kuwapa watu darasa...? watu wamevutika/vutiwa na upambanaji wako... wana tamani kujua zaidi ili ikiwezekana waka watoe watoto shule ili wawape mitaji wapige maisha...
boss Sule wasaidie watanzania wenzako... wana shida ya kufika ulipo... yawezekana biashara walizo nazo kuna sehemu wana pata changamoto kufikia matunda ya biashara...93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu
Maswali yako haya boss Sule...Utuelezee bas unafanya biashara gani mkuu.Mi kuajiriwa nimechoka nipate mtaji nikomae kiume aisee.Kumbe mafanikio yapo kwenye decision
Samahani nilitaka kum-quot boss sule ktk maswali yake toka kwa wadau, maana wame shawishika sana kutaka kujua toka kwake...Yako wapi boss
Mr. Boss Sule haya maswali una yaona lakini? au bado mwenzetu marekani ndio una toka usingizini? au upo kariakoo una funga mzigo upeleke kwenye fursa mpya kinshasa ili mapato yapae yafike 650M...?????Hongera Mkuu. Unajishughulisha na biashara zipi kwa sasa? Unaweza ku-share nasi japo changamoto na fursa zaidi katika biashara zako? Umezungumzia vitu in general, ni jambo jema na tunashukuru. Lakini nadhani ukiongezea ukawa specific kwa biashara unazofanya sasa itakuwa na manufaa zaidi. Natanguliza shukrani.
boss Sule wasaidie watanzania wenzako... wana shida ya kufika ulipo... yawezekana biashara walizo nazo kuna sehemu wana pata changamoto kufikia matunda ya biashara...
Usiwe kama yule boss wa tiktokNimejibu hii mkuu. mtu anaona kabisa nimejibu ila anarudia kuuliza so huwa sirudi maana hii s business nafanya. ukikubali sawa, ukikataa sawa. tunashare ya kwetu ili tujifunze kutoka kwa watu wengine ila sio kubishana.
kuna vitu havikusaidi kitu, kama hvyo unafatilia kitu ambacho hukubaliani nacho.
kama huyo mdau amepost mada zangu, kama hujakubali, tumia muda huo fkiria mambo mengine au tafuta mada zingine.
anashangaa kuwa marekani na kuwa tanzania so unaisi haiwezekani? kwaiyo unataka tubishana, hapana
Mr. Boss Sule haya maswali una yaona lakini? au bado mwenzetu marekani ndio una toka usingizini? au upo kariakoo una funga mzigo upeleke kwenye fursa mpya kinshasa ili mapato yapae yafike 650M...?????
Biashara zina mambo mengi, inawezekana ni kweli unachokisema, ila kuna mambo ya giza yanakuwa yamejificha
Nataka niifanye hiyo biashara unayoifanya, naomba abchapana, biashara si mambo ya kiza, na biashara ya aina hiyo ina maisha ya kufa mapema, maana inategemea mtu mmoja. fanya biashara ukiwa na ndoto yakuwepo miaka yote. biashara hata ukifa itaendelea kuwepo na mtu yeyote anaweza kuendesha biashara yako ikaendelea.
mfano: Apple, Steve alifariki zamani lakini plan zake bado zinaendelea kufanya kazi
Safi mkuu ishi maisha yakoNikiwaza ya mwenzangu nitachelewa kufanya yangu.
SIHOFII KUPITWA ILI MRADI MUDA USINIACHE.
nipo kitandani nakuna mbupu Nina buku ya ugali mfukoni maisha si ndo hayaa.bando lipo la kutosha.
Nipewe Nini tena zaidi ya uhai na uzima?
naelewa sasa hivi ni watu wana amka na ndio nilicho andika na kuuliza, je upo marekani una amka au upo kkoo una piga biashara...View attachment 2172915
hii screenshoot hiwe jibu kwako. angalia muda ulioreply, masaa yangu ni saa ngapi, alafu angali mtandao wa simu ninaotumia.
so kama hujakubali soma tu mada zingine itakusaidia
93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu
93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu